Ukiweka Unafiki pembeni, lazima utakubaliana na ukweli mchungu sana kwamba Hali ya maisha nyakati za Utawala wa Mkoloni Mwingereza ilikuwa afadhali zaidi kuliko hali ilivyo baada ya Mkoloni kurudi kwao Ulaya.Halafu ukiona jitu linaamka linawaza Nyerere ndiye sababu ya upumbavu wake basi jitu hilo ni bora lingekuwa ng'ombe tu.
Nyerere hakuikuta nchi hii mikononi mwa bibi yako.Aliikuta mikononi wa wakoloni na yeye akadhani ni vizuri kupigania Uhuru.
Kwa sasa Nyerere hayupo tena miaka mingi sana.Kwa nini usiganie unachoona Nyerere hakukifanya badala yake unalala njaa unaanza kuota Nyerere?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
msikie huyu😂😂😂Ndo mjinga wa mwaka huuChina siyo nchi ya kikomyunisti, halafu tofauti ya ujamaa na ukomyunisti ni ipi?
Sera yyte inaweza leta mafanikio hasa ikipata watendaji!Kwamba sera haisababishi mafanikio au anguko,umevaa chupi mzee!?
Njia kuu za uchumi china zimeshukwa na serikali?.. serikali ndiyo inayogawa mahitaji muhimu kwa raia bure?.. remember communism is the highest stage of socialismmsikie huyu😂😂😂Ndo mjinga wa mwaka huu
Siyo nchi ya kicommunist kadiri ya nani??
acha mihemuko
Jifunze kutoongea kama huna takwimuNjia kuu za uchumi china zimeshukwa na serikali?.. serikali ndiyo inayogawa mahitaji muhimu kwa raia bure?.. remember communism is the highest stage of socialism
Ujamaa uliotopea ulikuwepo USSR,ukafeli, ujamaa ulikuwepo sweden, ukafeli,sisemi ubepari ndiyo sera nzuri,la hasha,mimi ni muumini wa soko huria na si ubepari, china walifuata ujamaa, wakaona haufai,wakaamua kufuata soko huria,wapo pale leoSera yyte inaweza leta mafanikio hasa ikipata watendaji!
Tanzania ni nchi ya 10 africa kwa uchumi!!
Je hizo nchi zilizokua na sera tofaut na ujamaa ziko wap leo??
Uwezo na akili ni muhimu!!
Kenya ilikua ni capitalist country tangu kuanza leo iko wap?? hata GDP ya 200
Na bado kila mwaka iko kwene list ya nchi zenye njaa, umasikini, kusafirisha vibaraka nchi za watu kifupi hata uo uchumi wa kenya ni wa wahindi na foreigners
China siyo communist state hata kama wanajiita hivyo,nimekuuliza communism ni nini?.. CCM wanajiita chama cha mapinduzi na hawakupindua chochote,chama cha kikomyunisti kuongoza china haifanyi nchi kuwa ya kikomyunistiJifunze kutoongea kama huna takwimu
CommunismJifunze kutoongea kama huna takwimu
View attachment 3089373Ni ngumu kunishawishi kuwa Nyerere alikuwa kiongozi bora ngumu sana.
Mtu aliyetengeneza taifa la misukule kamwe hawezi kuwa kiongozi bora.
Propaganda kubwa imefanyika kumchora Nyerere mtakatifu na genius Taifa halijawahi kupata mtu wa hivyo.
Indoctrination imefanyika toka utotoni Nyerere kuonekana bora kila upande.
Jinsi watanzania tulivyo ni masikitiko akili zimeoza.
Huwezi kuwa bora kama unageuza watu wako misukule ili uwatawale vyema.
mkuu mi siwezi kubishana na mjinga tafuta wajinga wenzio!!Communism
Political ideology
Overview
Disadvantages
Communism is an economic ideology that advocates for a classless society in which all property and wealth are communally owned instead of being owned by individuals. Visions of a society that may be considered communist appeared as long ago as the 4th Century BCE.
View attachment 3095492
Investopedia
Investopedia is the world's leading source of financial content on the web, ranging from market news to retirement strategies, investing education to insights from advisors.www.investopedia.com What Is Communism? Definition and History - Investopedia
Wewe unaliona hili huko uchina?
Tuseme Nyerere hakuwa bora.
Tuambie wewe Rais aliye bora aliyepita kisha tukuonyeshe hao unaotaka kuwataja jinsi walivyouza rasilimali za taifa letu kwa wageni.
Halafu Ooooh Nyerere hakuwa genius. Umeenda pale Makerere University kufuatilia performance yake ukilinganisha na Marais wengine waliokuongoza waliokuwa wanapata makarai ya kutosha na ku-carry course wakiwa Vyuo Vikuu?
Unajua Nyerere alishatunukiwa Degree za Heshima za Udaktari ila wala hakuwa na mbwembwe za kutaka aitwe Dr.Nyerere kama hao wengine wanaoringia digrii za kutunukiwa?
Hatujawahi kuwa na Rais bora wote wendawazimu waliopewa madaraka makubwa.Tuseme Nyerere hakuwa bora.
Tuambie wewe Rais aliye bora aliyepita kisha tukuonyeshe hao unaotaka kuwataja jinsi walivyouza rasilimali za taifa letu kwa wageni.
Halafu Ooooh Nyerere hakuwa genius. Umeenda pale Makerere University kufuatilia performance yake ukilinganisha na Marais wengine waliokuongoza waliokuwa wanapata makarai ya kutosha na ku-carry course wakiwa Vyuo Vikuu?
Unajua Nyerere alishatunukiwa Degree za Heshima za Udaktari ila wala hakuwa na mbwembwe za kutaka aitwe Dr.Nyerere kama hao wengine wanaoringia digrii za kutunukiwa?
Bora hata wewe umesema kitu. Lakini huyu anayesema sijui Nyerere alikuwa hovyo, je hao waliofuatia tuseme?Hatujawahi kuwa na Rais bora wote wendawazimu waliopewa madaraka makubwa.
Katika kipindi cha miaka 19 kuanzia 2005 mpaka mwaka huu hakuna mwaka hata mmoja kwa mujibu wa CAG umekuwa na afadhali katika suala zima la mahesabu ya taasisi zote za kiserikali. Pote anapofika mhasibu mkuu anakutana na wizi na ufisadi wa kila aina.View attachment 3089373Ni ngumu kunishawishi kuwa Nyerere alikuwa kiongozi bora ngumu sana.
Mtu aliyetengeneza taifa la misukule kamwe hawezi kuwa kiongozi bora.
Propaganda kubwa imefanyika kumchora Nyerere mtakatifu na genius Taifa halijawahi kupata mtu wa hivyo.
Indoctrination imefanyika toka utotoni Nyerere kuonekana bora kila upande.
Jinsi watanzania tulivyo ni masikitiko akili zimeoza.
Huwezi kuwa bora kama unageuza watu wako misukule ili uwatawale vyema.
Laumu watu milioni 64 wanaoshindwa kujisimamia masuala yao wenyewe. Mwalimu alishatangulia mbele ya haki miaka 25 imepita.Ukiweka Unafiki pembeni, lazima utakubaliana na ukweli mchungu sana kwamba Hali ya maisha nyakati za Utawala wa Mkoloni Mwingereza ilikuwa afadhali zaidi kuliko hali ilivyo baada ya Mkoloni kurudi kwao Ulaya.
Ukweli huu mchungu bado unaendelea kuthibitika hadi mpaka hivi sasa, miaka zaidi ya 60 baada ya Mkoloni kuondoka hapa nchini Tanzania.
Naunga mkono hoja yako 100%View attachment 3089373Ni ngumu kunishawishi kuwa Nyerere alikuwa kiongozi bora ngumu sana.
Mtu aliyetengeneza taifa la misukule kamwe hawezi kuwa kiongozi bora.
Propaganda kubwa imefanyika kumchora Nyerere mtakatifu na genius Taifa halijawahi kupata mtu wa hivyo.
Indoctrination imefanyika toka utotoni Nyerere kuonekana bora kila upande.
Jinsi watanzania tulivyo ni masikitiko akili zimeoza.
Huwezi kuwa bora kama unageuza watu wako misukule ili uwatawale vyema.
Ah, mwenye babake umekuja mbio mbio.Nani kasema Nyerere genius?
Nyerere alikuwa anahutubia mkutano Jangwani 1959 anasema yeye peke yake Tanganyika ndiye mwenye degree.
Sasa unadhani Watanganyika walipokuwa wanamtafuta rais wangemchagua nani?