FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Ubora wake nini?Alikua bora si kwa kila mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubora wake nini?Alikua bora si kwa kila mtu.
Nyerere alitenda kulingana na usawa wa zama husika.View attachment 3089373Ni ngumu kunishawishi kuwa Nyerere alikuwa kiongozi bora ngumu sana.
Mtu aliyetengeneza taifa la misukule kamwe hawezi kuwa kiongozi bora.
Propaganda kubwa imefanyika kumchora Nyerere mtakatifu na genius Taifa halijawahi kupata mtu wa hivyo.
Indoctrination imefanyika toka utotoni Nyerere kuonekana bora kila upande.
Jinsi watanzania tulivyo ni masikitiko akili zimeoza.
Huwezi kuwa bora kama unageuza watu wako misukule ili uwatawale vyema.
Sawa basi bora mama SSH. Wabongo mnagubu sana.View attachment 3089373Ni ngumu kunishawishi kuwa Nyerere alikuwa kiongozi bora ngumu sana.
Mtu aliyetengeneza taifa la misukule kamwe hawezi kuwa kiongozi bora.
Propaganda kubwa imefanyika kumchora Nyerere mtakatifu na genius Taifa halijawahi kupata mtu wa hivyo.
Indoctrination imefanyika toka utotoni Nyerere kuonekana bora kila upande.
Jinsi watanzania tulivyo ni masikitiko akili zimeoza.
Huwezi kuwa bora kama unageuza watu wako misukule ili uwatawale vyema.
Nyerere alikuwa na akili mno. Yaani hata ukionganisha akili za marais wote bado sum yao haizidi akili ya JK Nyerere. Nyerere hakuwa Mwehu na sio wa kumlinganisha na wehu.Tuseme Nyerere hakuwa bora.
Tuambie wewe Rais aliye bora aliyepita kisha tukuonyeshe hao unaotaka kuwataja jinsi walivyouza rasilimali za taifa letu kwa wageni.
Halafu Ooooh Nyerere hakuwa genius. Umeenda pale Makerere University kufuatilia performance yake ukilinganisha na Marais wengine waliokuongoza waliokuwa wanapata makarai ya kutosha na ku-carry course wakiwa Vyuo Vikuu?
Unajua Nyerere alishatunukiwa Degree za Heshima za Udaktari ila wala hakuwa na mbwembwe za kutaka aitwe Dr.Nyerere kama hao wengine wanaoringia digrii za kutunukiwa?
Nenda Kenya kama sio mkikuyu kutoboa inabidi ukaze kweli kweli ikibidi uue mtu . Nilienda Marekani nikakutana na radio ya wakikuyu. Kwenye kutokomeza ukabila Mwalimu nampa marks.View attachment 3089373Ni ngumu kunishawishi kuwa Nyerere alikuwa kiongozi bora ngumu sana.
Mtu aliyetengeneza taifa la misukule kamwe hawezi kuwa kiongozi bora.
Propaganda kubwa imefanyika kumchora Nyerere mtakatifu na genius Taifa halijawahi kupata mtu wa hivyo.
Indoctrination imefanyika toka utotoni Nyerere kuonekana bora kila upande.
Jinsi watanzania tulivyo ni masikitiko akili zimeoza.
Huwezi kuwa bora kama unageuza watu wako misukule ili uwatawale vyema.
Ni kweli kwa 100%. Huyu babu ndio kaua nchi yetu na kaweka nchi ya MISUKULEView attachment 3089373Ni ngumu kunishawishi kuwa Nyerere alikuwa kiongozi bora ngumu sana.
Mtu aliyetengeneza taifa la misukule kamwe hawezi kuwa kiongozi bora.
Propaganda kubwa imefanyika kumchora Nyerere mtakatifu na genius Taifa halijawahi kupata mtu wa hivyo.
Indoctrination imefanyika toka utotoni Nyerere kuonekana bora kila upande.
Jinsi watanzania tulivyo ni masikitiko akili zimeoza.
Huwezi kuwa bora kama unageuza watu wako misukule ili uwatawale vyema.
SSH je?Ni kweli kwa 100%. Huyu babu ndio kaua nchi yetu na kaweka nchi ya MISUKULE
View attachment 3089373Ni ngumu kunishawishi kuwa Nyerere alikuwa kiongozi bora ngumu sana.
Mtu aliyetengeneza taifa la misukule kamwe hawezi kuwa kiongozi bora.
Propaganda kubwa imefanyika kumchora Nyerere mtakatifu na genius Taifa halijawahi kupata mtu wa hivyo.
Indoctrination imefanyika toka utotoni Nyerere kuonekana bora kila upande.
Jinsi watanzania tulivyo ni masikitiko akili zimeoza.
Huwezi kuwa bora kama unageuza watu wako misukule ili uwatawale vyema.
Sasa ndio naelewa motive behind uzi huuYeye mwenyewe alikuwa mdini
Umekwama siyo,kila la herimkuu mi siwezi kubishana na mjinga tafuta wajinga wenzio!!
Nyerere ali-supp chuo scotland,halafu ujiniazi haupimwi kwa kujua tebo ya tisaTuseme Nyerere hakuwa bora.
Tuambie wewe Rais aliye bora aliyepita kisha tukuonyeshe hao unaotaka kuwataja jinsi walivyouza rasilimali za taifa letu kwa wageni.
Halafu Ooooh Nyerere hakuwa genius. Umeenda pale Makerere University kufuatilia performance yake ukilinganisha na Marais wengine waliokuongoza waliokuwa wanapata makarai ya kutosha na ku-carry course wakiwa Vyuo Vikuu?
Unajua Nyerere alishatunukiwa Degree za Heshima za Udaktari ila wala hakuwa na mbwembwe za kutaka aitwe Dr.Nyerere kama hao wengine wanaoringia digrii za kutunukiwa?
Mwalimu hakuwahi kusupp Chuo. Wa kusupp na kufoji documents za Vyuo wanajulikana, na mmoja wao alimchukia sana Ben Saanane kwa kumuanika.Nyerere ali-supp chuo scotland,halafu ujiniazi haupimwi kwa kujua tebo ya tisa
Huyu Chura magamba yeye ana ubora gani?Ubora wake nini?
Unabisha nini, ali-supp chuo scotlandMwalimu hakuwahi kusupp Chuo. Wa kusupp na kufoji documents za Vyuo wanajulikana, na mmoja wao alimchukia sana Ben Saanane kwa kumuanika.
Historia inaonyesha alifanya vyema sana mitihani ya kwenda Makerere. Wakati huo Babu yako akiutumia ujana wake kupiga matunguri bush huko.
Kama watu kama Sinde wakiweka ukweli bila kumumunya maneno wangeongea mengi ila kakazania muungano tuAlifanya makosa mengi lakini kubwa kuliko kitendo cha kuwatimua wazungu mapema kabisa baada ya uhuru wakati hatukuwa na watu wenye uelewa kuhusu viwanda alichemka sana. Tukabaki na kilimo chetu na mazao yetu hatuna pa kuyapeleka.