Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

Hii ni hatari mpaka kwa wa lugha lugha wameanza haya maneno
 
Hoja yako unakumbuka lakini? Wewe ulisema siyo wote wanaompenda na wamepewa hizo baiskeli. Kwa ivo ndani ya CCM wapo wasiompenda?
Ndio sio lazima wote wampende na wamkubali,Sasa shida Iko wapi?

Mpo wengi tuu ukiwemo na wewe.
 
Ww huna mao
Haa, unaona kabisa ni mchezo wa kitoto. Pia, hao ni watumwa wa akili kwamba yenyewe hapo ilipo inachojua ni kuwa mwanamke kazi yake kuchunga ng'ombe Huku akiwa kanyolewa kipara. Hapo inasubiri muda tu iende malishoni....... pathetic!!!
Huna Maono yoyote kushinda huyo mtoto kwa kifupi wasukuma wote ww huwez kuwashinda akili Tweneke
 
Mkuu hapa hatujadili kuhusu mtu kupendwa au kuchukiwa na watu wote kitu ambacho hakiwezekani, hapa tunazungumzia kile kiasi cha kukubalika au kutokubalika kwa wananchi hatuzungumzii makundi yaliyofaidika na utawala bali kukubali kwa huo utawala.
Nipe ushahidi wa na sababu inayo kufanya uone samia hakubaliki na Magufuli alikuwa akikubalika.
 
Hawa ndugu wana uchungu na ndugu yao, tena wana msimamo haswa, wakisema wamesema, hawaongei sana ila vitendo vyao vitakuonyesha.
 

Lakini hakuanzisha mradi hata mmoja unaoweza kufika 1T
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…