Roho ya kiuaji kabisa ina hawa watu yani wanaua watu ambao hawana impact yeyote kwenye serikali na wanayaacha majangili na majambazi ya mali za umma yanakunja nne tu ikulu , hii nchi kuna mahali tulimkosea sana mungu na hii ni ghadhabu yake.Kama kilikamatwa kile kichanga Cha kule mbeya sembuse hyo
Naamini kama stori kama hizo ziko nyingi saana mtaani. Huyo binti hana kosa kosa ni kwa aliyetuma video.Wanawaingiza matatizoni. Walifanya kitu hatari bila kujua sababu ya uwezo wao mdogo wa kutambua hatari.
Kuwa na shukrani ni kuwahonga baiskeli ambazo nalo ni dili la watu kutakat8sha fedha chafu, na huku ardhi yao na mali zao wanahongwa wajomba OMAN, serikali ni wajibu wake kuleta maendeleo na wala haihitaji kupongezwa wala kushukuriwa maana ni pesa za wananchi wenyewe ,msiaminishe watu ujinga wenu mlio aminishwa ninyi na hao wakoloni wenu weusi mnao watetemekea na walamba matako lHuko ni kukosa shukrani, hii jamii inaonekana ina watu wasio na shukrani kama hao waliopokea zawadi za Daktari halafu wanakataa kulipa fadhila.
mwashamba kuja chaws wamamazNimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?
View attachment 3411953
Huyu hapa.
Yaani Wafuasi wa CCM mnawaza kuua muda wote sasa mnataka kila mwananchibaimbe wimbonasio utaka? Maana ya taifa huru ninini sasa kama mnataka nchi nzima tuimbe wimbo wa viva samiaaaaaaaa, mitano tenaaaa! MITANO YA NYOKO!Wanawaingiza matatizoni. Walifanya kitu hatari bila kujua sababu ya uwezo wao mdogo wa kutambua hatari.
Akiuwawa huyo Binti damu yake iwe juu yako kumuexpoz hivyo kwenye jukwaa kubwa kama hili ni kumpa tiketi ya kifo inamaana huwajui ccm kwamba ni brand ya kiuwaji?
Mimi siyo CCM wala chama chochote.Yaani Wafuasi wa CCM mnawaza kuua muda wote sasa mnataka kila mwananchibaimbe wimbonasio utaka? Maana ya taifa huru ninini sasa kama mnataka nchi nzima tuimbe wimbo wa viva samiaaaaaaaa, mitano tenaaaa! MITANO YA NYOKO!
Umeongea vema.Naamini kama stori kama hizo ziko nyingi saana mtaani. Huyo binti hana kosa kosa ni kwa aliyetuma video.
Na pia nadhani watz wote tunatakiwa kuwa kama hao mabint kwamba tusichague mtu kwasabab ya zawad bali kwasababu tunaona anastahili iwe ametoa zawad au hajatoa.
Wamekuwa kama mazarsmu wajinga flani ni nyumbu flani tunao hapa darisalamaNjSAfi sana, na mangosha yalivyo mengi sasa hahhaaaaah
Enzi za wakoloni labdaIkulu ni sehemu takatifu siyo pango la wahuni na makahaba
Ajagusa maisha ya watu wa chini.Samia anapitia haya kwa sababu ya aina ya uongozi wa Magufuli ulivyokuwa ila kama Samia mtangulizi wake angekuwa ni Kikwete basi watu wasingemkataa sana Samia kiasi hiki.
Hakuna anaeweza dhibiti ufisadi nchiniSamia angechukua nchi baada ya Kikwete Tanzania kungekuwa na mapinduzi tayari.Watanzania walishachoka na ufisadi uliokithiri 2015.
Watz hawajui wanataka niniSababu ya kutokubalika ni nini? Watanzania mnataka kuwa oyaoya kama Gen Z wa kibera