Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

Huyo binti asiguswe maana wasukuma wana ushirikiano wa kutisha sana.
Wanaweza wasioneshe machoni, ila moyoni ni hatari.
Mungu wabariki watanzania.
Mungu wabariki wasukuma.
 
Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa?

View attachment 3411953
Huyu hapa.
Sasa hivyo vitoto vimalaya anayewarekodi ndiyo anataka kuwaharibia. Hilo jinga halijui ht maana ya kura, hana kadi ya kupiga kura atachagua nini, waambieni wajifunze kwanza Kiswahili na waache ushamba, wafikirie namna ya kutoka kwenye huo umaskini wao, usukumani kuna umaskini hatari tunakujua. Hizo baiskeli wamegawiwa mabalozi, huyo balozi wakijua hiyo locatio atayaita maji maaa! Ht hivyo wasukuma ushamba ni sifa yao kuu JK hakutakiwa kuwaachia urais, ni wakabila sana na Magu kuna mbegu amepandikiza mbaya sn. Kuna hilo sukuma gang litahangaika sana na Samia ila hawatamweza.
 
Ila kiukweli kabisaa, sa100 hakubaliki kwa wanannchi wengi wa kati na wale wa chini...hajagusa maisha yao moja kwa moja.
Anakubalika kwa kundi dogo tu (na ndio lenye makelele mengi) la wanufaika wa utawala wake...wateule na machawas!
We kibwengo tuliza hayo makalio, ulitaka aguse hayo makalio yako.
 
Namuonea huruma huyu binti aise muda wowote atatekwa na kuuawa maana Maccm ni mauaji sana
 
Tanzania tungekuwa na uhuru wa kuongea kama Kenya,tungekuwa mbali sana kwenye maendeleo, uhuru wa mawazo ni muhimu sana kwenye democracy
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Kenya Wana maendeleo gani?!!!!!!!
Aisee nashauri nyumbu wafutiwe uraia nchi hii, haki ya Mungu tena.
 
Alisemaje????
 
Watanzania wako hivyo ulivyosema !
Kwakweli Wengi wao hawajui nini wanataka !πŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈ
 
Umenena ! πŸ’― βœ…
 
Hija ya msingi kabisa ni kwa nini serikali itengeneze mazingira ya hofu ya kuuawa kwa kila atakaye mkosoa kiongozi? Je? Huo ndio mfumo wa kiutawala sahihi? Nanwakati huo kumbuka huyo kiongozi ni mtumishi wa wananchi, sasa hii mentality ya kuhofia kuuawa pale tu mwananchi atakapo mkosoa rais inatopa picha gani kwa taifa, kibaya ni kuaminishwa kuwa kumkosoa rais hukumu yake ni kifo huu utaratibu aliye uanzisha rasmi ni magufuli na bibi mdemkaji anauendeleza kwa ufasaha kabisa, roho ya mauaji imetawala serikalini na chamani
 
Ushamba nao mzigo, nchi imechafuka watu wanatekwa hovyohovyo hakuna hata haja ya kupost vitu vidogo kama hivyo.
Kweli kabisa !
Hiyo Clip wala haitokuwa na impact yeyote kwa Wapiga kura kwa sababu inajulikana sio Wananchi wote watampenda na sio wote watamchukia Kiongozi yeyote yule !
 
Mmmh ! Yalianzia kabla ya Magufuli !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…