mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 909
- 1,425
Kapewa msukuma au kapewa Deborah?Kama Mimi ndio huyo msukuma navikataa hivyo vitu
Hiyo ni zawadi ya wazazi kwa binti yao.Kwanini asiseme "Debora tunawapa nyumba"?
Umeleta mfano usio endani na uhalisia,rudi tafakari njoo na mfano halisi!! Chombo cha plastic na ghorofa Mbweni, wapi na wapi!!??Huyo siyo mkeo ni mchumba, na hapo wako kwenye send-off.
Narudia tena, hizo zawadi kapewa mwanamke na familia yake, kapongezwa kwa kupata bwana.
Siku ya harusi ndipo watapewa zawadi za pamoja.
Swali la kizushi, je, wakwe wangempa mavyombo ya plastiki, mngekuwa na hasira kama hizi za viwanja?
Nyingi ni mbwembwe za kupamba sherehe tu !! Maisha ni haya haya, tunavijua vichache kuliko uhalisia katika dunia hii.Kijana kaitwa kama mbwa nihuzuni
Zote ni zawadi, lakini nyumba zimekuwa jambo kubwa kwa sababu hauna.Umeleta mfano usio endani na uhalisia,rudi tafakari njoo na mfano halisi!! Chombo cha plastic na ghorofa Mbweni, wapi na wapi!!??
Je mc anayo mamlaka kisheria kumuhusisha mume na mali alizopewa mke kutoka kwa wazazi wake!!??Naam, wao wamemtaja mtoto wao tu.
MC ndiyo ameamua kumhusisha mwamba, lakini bi mkubwa alikuwa anamrejelea Debora tu.
Kwa sababu ni nyumba ndiyo maana katajwa Deborah peke yake,lakini yangekua hayo Maplestead ya vyombo wangepewa wote kama wana ndoa, kwa hiyo hiyo insecurity na umasikini uko kwa familia ya Deborah shubamiti!!Zote ni zawadi, lakini nyumba zimekuwa jambo kubwa kwa sababu hauna.
Ungekuwa na nyumba zako, nyingi na kubwa kuliko anazopewa mkeo, ungeona ni jambo la kawaida mno.
Hiyo insecurity yote inasababishwa na umasikini tu.
Kwa jeuri niliyonayo napofanyiwa madharau,ningeondoka ukumbini kabisaKijana kaitwa kama mbwa nihuzuni
😆😆😆😀Kwa jeuri niliyonayo napofanyiwa madharau,ningeondoka ukumbini kabisa
Kwangu mwiko pgo hizoHiyo ni zawadi ya wazazi kwa binti yao.
Huyo jamaa anahusikaje?
Debora atazitumia kwa manufaa yake binafsi, ikiwemo kuuza ama kupangisha.
Na hiyo ilikuwa send-off.
Zawadi za wanandoa hutolewa siku ya harusi.
Mamlaka aitoe wapi? Alifanya kishikaji tu ili ku-massage ego ya mwamba!Je mc anayo mamlaka kisheria kumuhusisha mume na mali alizopewa mke kutoka kwa wazazi wake!!??
Kwani akipewa Debora si ndio kapewa msukuma?Kapewa msukuma au kapewa Deborah?
Kuna harusi na send-off. Kinachotolewa siku ya harusi ni cha wanandoa, cha kwenye send-off ni cha mhusika.Kwa sababu ni nyumba ndiyo maana katajwa Deborah peke yake,lakini yangekua hayo Maplestead ya vyombo wangepewa wote kama wana ndoa, kwa hiyo hiyo insecurity na umasikini uko kwa familia ya Deborah shubamiti!!
Nope hivyo vitu huwa wanatajaga tu nimefanya Sana hiyo michezoHamna ndoa apo
Nakuelewa.Kwangu mwiko pgo hizo
Acha kujidanganya kijana,yaonekana hauko kwenye ndoaKwani akipewa Debora si ndio kapewa msukuma?
Mc mpumbavu. Anamdharirishaje mwanaume mwenzie hivyo? Ameokota dodo gani? Mc anajua uwezo wa mwanaume mpaka hilo liwe dodo lililookotwa. Hizo zawadi za majengo na viwanja ni chache huwa ni za kweli.Kijana kaitwa kama mbwa nihuzuni
Hizo ndoa za kipuuzi mm sipo kweliAcha kujidanganya kijana,yaonekana hauko kwenye ndoa