Huyu mdada anavyonichunia baada ya kumwambia hivi, kosa langu ni nini?


Huu ubwege sasa demu nenda nae chap kwa haraka achana na uzamani zamani, demu mgumu wa papuchi achana nae, jitahidi mkutane viwanja anavyovipenda kutoka, uwe na pesa, mdomo, mobility na flexibility then ulalamike hapo unakuwa kidampa sana!! Mwamba uwe Mwamba
 
Aisee
 

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi Kuna Mmoja Nimetoka Kumla Ivo Ivo... Alinambia Anaomba Elfu 20 Nkamwambia Hapa Nna 10 Nyingine Ntakupa Tukikutana, Akakubali Akajichanganya Siku Alivokuja Ndio Nikamla... Sasa Tatizo Ni Katamu, Hivyo Mzee Mzima Sa Ivii Ni Mwendo Wa Kuonga Tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kijana kwani elfu 10 ungempa ungepungukiwa nini?
Ungempa tu huwezi jua huenda alikuwa na shida ya muhimu sana.
 
Hahaha....
Afternoon is good from this comment
Mkuu sitanii
Kuna mmja akasem anaomba laki moja[emoji2][emoji2][emoji2][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] nkacheeeka
Wapili kasema 50000
Ile sijakaa sawa mwingine 50[emoji16][emoji16][emoji16]
 

Mbona laki 8 ni pesa ya date moja tu bro πŸ˜‚πŸ˜‚ tafuta wanawake wa levo zako
 
mmekutana mbona[emoji2][emoji2]
Hivi hii fashion ya njoo upajue kwangu mmeitoaga wapi wanaume? mtu hamjajuana hata wiki tayari njoo upajue kwangu
Haha ndo kauli zao hizi atakuambia ni muhimu kufahamiana kila mmoja anapoishi , ukienda hauna chako tena .
 
Mbona laki 8 ni pesa ya date moja tu bro πŸ˜‚πŸ˜‚ tafuta wanawake wa levo zako

Hakuna mwanaume kijana Tanzania anaeza mpeleka Mwanamke date ya tsh laki 8, na mzigo hajala, labda Yusuf bakhresa, odds za ww mdada kukutana na wanaume kama hao ni 1 in a billion, kuwa realistic Tuttyfruity
 
Aahahhaa Naomba Nije Pm

One love
 
Inamaana kosa lako ulijui mpaka hapo mkuu au unajitoa ufahamu2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…