Huyu mdada nampenda nimetumia njia zote kanikataa sasa imebaki njia moja tu

Hii siwezi kuifanya kwa sasa kila mtu yupo mkoa tofauti mimi nipo dar yeye yupo Tanga Lushoto
 
Mwanamke akipenda huwa anapenda kweli. Kama hakutaki ni hakutaki kweli,. Huyo ni dhahiri kuwa hakutaki Face it and move on. Kwanini unataka kuendelea kutumia nguvu nyingi ili uubadilishe tu ukweli.?? Moyo wa mwanamke ni Delicate sana... Hakika ukiendelea kuforce, atakuja kukuumiza vibaya zaidi ya hapo.
 
Usipende kufanya maamuzi kwa hisia. Fanya maamuzi sahihi
 
Inabidi ukubali tu kuwa si kila mwanamke yupo kwa ajili yako, vinginevyo utazidi kupoteza pesa na muda.
Sawa sasa kwanini anilie vyangu kipindi chote hicho na alikuwa anaonesha kuwa karibu na mimi hadi geto anakuja tunapika tunakula na mambo mengi tu tumefanya nae
 
Ukiwa unaenda sikiliza na lile ngoma la singeli la hodi hodi mganga...
 
Nimetumia mbinu nyingi sana nyingine sikuziandika hapo
Yaani kule kupeleka vijizawadi na kuhonga kwako ni mbinu si ndiyo?

Kwa taarifa yako hiyo hela unayomhongaga huyo mdada huitumia kula bata na mjuba wake huku wewe ukisubiri majibu ya vijizawadi vyako 😂😂
 
Chief sikupingi.hata mm kuna falla alikuwa anajiona keki kipnd hcho nilimpga michano akanichonolea nikavumilia miaka 5 bado akawa anachomoa halaf mshez kanona kchz nikaona ni ufalla nikampga manyau nyau ***** kilichofata baada ya hapo n mimba na mtoto juu mm nilipambania hisia zangu na nilishda vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…