Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa
Mtu hatari mwenye silaha zote hizo anayerusha risasi hovyo hovyo apigwe risasi za mguu ili akamatwe?

Mnacheza nyie.

Huyo alikuwa anahatarisha maisha ya watu na ni kazi ya law enforcement kuiondoa hiyo hatari.

Hakuna mambo ya kujadili wala sijui kutafakari apigwe wapi risasi.

Mnyunyizie risasi zote, hata kama ni 1,000, ili mradi hatari kwa watu iondoke.

Heko polisi.
Mama said shoot you up
 
Exposure gan ulionayo? nini cha maaana unacho kwenye hio exposure yako?
osama aliesumbua dunia nzima hakukamatwa kuhojiwa, mtu alielewa unamhoji nn?
Ulevi gani huo ambao hautaisha mtu akiwa mahabusu?
 
Lazima jamaa atakuwa ni Msomali, siyo kwa ujasiri ule, Mtanzania wa kawaida ni mwoga sana hawezi kuwa tayari kujitoa sadaka ya kifo namna jamaa alivyofanya. Wanaishia kusimulia tu kama mashahidi
 
Na haya ndio madhara ya kuutangazia ulimwengu habari za Ugaidi Tanzania na sasa wanafanya kweli... hii kesi ya mheshimiwa haikufaa kabisa kuletwa kwa mtindo huo wa ugaidi... sasa wanafanya kweli halafu bado Polisi wanamtafuta mchawi... tuombe Mungu copy cat isitokee au wa namna hiyo kujitokeza maeneo mengine nchini hapa...

mbowe anahusiana vp sasa na hii event?
 
Hakuna ajuaye kama huyu ni gaidi ama ni mwizi, au ana msongo wa mawazo tu
Haijawahi tokea Tanzania - mtu anapiga risasi ovyo barabarani. Huyu lazima ni gaidi. Kuuwa askari wawili si mchezo.
 
Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.

Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
  • Ni nani?
  • Katumwa na nani?
  • Yuko na akina nani (wako wangapi)?
  • Nini dhamira yao?

- Nini chanzo cha wao kufanya hivi?

Kwa kumuua hawajatatua tatizo.

Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.

Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu??
its a code.. if the suspect happen to be in possession of a gun and refuses to surrender and its a threat of death to an opeartor then its a shoot to kill..at those second its either him or death
 
Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.

Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
  • Ni nani?
  • Katumwa na nani?
  • Yuko na akina nani (wako wangapi)?
  • Nini dhamira yao?

- Nini chanzo cha wao kufanya hivi?

Kwa kumuua hawajatatua tatizo.

Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.

Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu??
Najaribu kuwaza kama yule angekuwa chambo na kuna snipers wametulia mahali kama kawaida yao, sijui polisi tungewaokota wangapi pale yaaaani!!
 
ila uyu mwamba kiukweli kabisa ni mwanaume kati ya wanaume,unajua mtu kakaa mbele ya geti la ubalozi wa ufaransa na katikati ya barabara kuu na kubwa kwa viongozi wa kibalozi anatamba tu karibia nusu saa inabidi nae tumpe sifa zake kwa ujasiri
 
Hamza
260960666607_status_d8e0975d50a244309f90e963768b5102.jpg
 
Back
Top Bottom