Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa
Ukiangaliaa Clip moja kuna Askari Police kidogo amchape mwenzie risasii

Maana jamaa anatoka tuu kumendeaa target mwenziee kafyatua risasi sasa ile mbayaaa sanaaa

Huwenda risasi ingemchapa mwenziee.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Yani mkuu acha tu, watanzania sisi tunajua kila kitu... Mtu ana AK mbili trna ziko loaded unasema usimuue na huku yy ameshaua na kujeruhi watu kadhaa

siasa zikiwa nyingi ndo matatizo kama haya! yaani hollywood imeharibu sana watu, kwamba ukimpiga za kwenye miguu mikono haifanyi kazi kwahio watasogelea pale wanavotaka
 
Ningesikia idadi ya vifo ni zaidi ya 50 hapa ningekubari kuwa jamaa alikuwa anafyatua risasi ovyo, ila kwa kuwa mpaka sasa vifo ni vinne tu na majeruhi 6 basi jamaa alikiwa hafyatui risasi ovyo

Harafu jamaa aliacha kushambulia akawa ananyoosha mkono na kujipiga piga kifua mda huo ulikuwa sahihi kabisa kumlenga sehemu za kumudhoofisha na sio kumuua

Hapa kuna uzembe tukubari jamani, kwanza jamaa katamba mda mrefu sana

Yote kwa yote pole kwa familia za askari waliopeteza maisha, Mungu azilaze mahari pema peponi
Madaam usisahau kuwa it was not a coordinated move. Askari walikuwa wanaokoa jahazi na kila Askari alikuwa anatarget kumuua
 
Inategemea na situation mkuu, that was the right choice ukiangalia alikua anashoot hovyo

Katika video zote za tukio na kwa maelezo ya mashuhuda, hakuna wakati wowote yule jamaa alirusha risasi hovyo, kama ingekua hivyo angeua raia wengi Wasio na Hatia. Kila risasi aliyofyatua ilikua na malengo.
 
Kuna wazee wa interogation wewe usiombe kukutana wanakupiga kisu cha gotini. Hujasema unapigwa cha mkundn hujasema unamaliziwa chs koromero c bora lingekufa kifo hicho kuliko kuuliwa kwa lisasi fasta vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mkuu umewan nini eti
 
Wasingemuua yeye angewaua na mwisho ANGEJIUA YEYE.
Yani wangeendelea kuchelewa angewapopoa wengi tu mwishoe wangekuja wanajeshi na yeye angejimaliza
 
siasa zikiwa nyingi ndo matatizo kama haya! yaani hollywood imeharibu sana watu, kwamba ukimpiga za kwenye miguu mikono haifanyi kazi kwahio watasogelea pale wanavotaka

Jamaa aliyepiga risasi watu msikitini Newzealand unajua alikua na bunduki ngapi? Mwisho wa siku alidhibitiwa na wanausalama bila kuuawa.
Kama mapungufu yapo lazima yasemwe.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Jamaa aliyepiga risasi watu msikitini Newzealand unajua alikua na bunduki ngapi? Mwisho wa siku alidhibitiwa na wanausalama bila kuuawa.
Kama mapungufu yapo lazima yasemwe.
Wao wanadhani kuuwa mhalifu ndiyo suluhisho
 
Kiuhalisia askari wetu hawana shabaha ya kutoaha, huo ndiyo ukweli.
 
Mtu kauwa watu wanne unamkamata unamuhoji nini na bado ana silaha mkononi anaendelea kushambulia unamkamata ili iweje?

Ulipoingiza mambo ya chadema na siasa nikajua tu uzi wa Zezeta hautakiwa na mantiki
 
Hqpana siyo kweli. Kule Ufaransa kulikuwa na mtu mwenye silaha tena alikuwa kwenye eneo lenye watu wengi lkn alidhibitiwa.

Hawa wa kwetu hovyo kabisa
Achana na hizo stori za ufaransa... Tukio hilo la ufaransa lilikuwa na mazingira yake, tuzungumzie hili la leo!. Jamaa licha ya pistol aliyokuwa nayo bado alikuwa na SMG mbili, moja inaning'inia shingoni nyingine anaitumia kulenga kila anachokiona.... kumbuka SMG ina risasi thelathini na ameishaua watu wanne wewe unasema aachwe aue watu wapatao 30, aishiwe risasi wewe ndio ukamkamate?..... Wewe utakuwa askari kweli au askofu??.
 
Jamaa aliyepiga risasi watu msikitini Newzealand unajua alikua na bunduki ngapi? Mwisho wa siku alidhibitiwa na wanausalama bila kuuawa.
Kama mapungufu yapo lazima yasemwe.

kwahio mwalifu kuuliwa ni mapungufu?
 
Katika video zote za tukio na kwa maelezo ya mashuhuda, hakuna wakati wowote yule jamaa alirusha risasi hovyo, kama ingekua hivyo angeua raia wengi Wasio na Hatia. Kila risasi aliyofyatua ilikua na malengo.

sasa tunajadili nn apa, wamemuua yule mlevi wameacha hii takataka apa
 
Back
Top Bottom