Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa
Inategemea na situation mkuu, that was the right choice ukiangalia alikua anashoot hovyo
Right choice Right decision wangemuumiza wasingepata lolote. Hawa ni sawa na wafanyabiashara ya madawa ya kulevya hawasemi hata uwafanye nini.

Jeshi la Polisi liachane na siasa sasa ni kulinda nchi na wananchi
Ingieni kazi hii ndio ajira yenu sio kushinda Kisutu kila siku..
Achieni wafungwa wa kisiasa kama mlivyowaachia Uamsho
Nchi imegawanyika
Ijengeni Tz
Irudisheni Amani Upendo kwa Taifa
Wanasiasa Wanaharakati wanatumaliza.....
 
Huwa tunasema humu kila siku polisi wanaonekana wana nguvu kwasababu wanakutana na watu ambao hawana nia ovu, lakini wakikutana na watu wenye nia ovu ndio haya hutokea.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Right choice Right decision wangemuumiza wasingepata lolote. Hawa ni sawa na wafanyabiashara ya madawa ya kulevya hawasemi hata uwafanye nini....
Ukweli ni kwamba hali iliyonayo Tanzania kwa sasa, tuombe sana haya ya ziada kama ya ugaidi yapitie mbali.

Nchi yetu imevurugwa sana kiasi kwamba hatuna mshikamano tena.

Tukipata janga la kuingiliwa na haya mambo mengine, nchi yetu itazidi kuyumba sana.

Tunaziona nchi kama Msumbiji, Nigeria wakihangaishwa sana, siyo kwamba hawana nguvu na uwezo wa kushughulikia vikundi viovu, ni kwa sababu nchi hawana ushikamano wa pamoja wa kumkabiri mbaya wao.

Watu wa Mtwara na Lindi waliotishiwa kupigiwa shangazi zao, na sasa sehemu zote Tanzania tunakoona watu wakipokonywa haki zao, unadhani watu hao watakuwa na moyo wa kushirikiana kupambana na adui akiishambulia nchi yetu?
 
Hiyo ni rule of engagement na stress of management ndo iliyotumika.

Ila kwa vile mtu alikuwa peke yake na yupo katika eneo la hatari hata kama angeuu 10 huyo kwa jeshi la polisi ingekua assert nzuri ya kuchukua primary information.

Huenda anawenzake ambao wanakuja kuhatarisha maisha ya mamia ya watu .

Hii ndo unaona kuna haja ya kuwa na jeshi la polisi la watu wasomi sio kuanzia four ya 28 hadi 32
 
Ivi huu ujasusi mavi mnautoaga wapi? Unajua mbinu za kupambana na mtu mwenye siraha ya Moto sio huu ugolo ulioleta hapa?

Yani umpige risasi ya mguu alafu umsogelee akiwa na siraha yake mkononi tena ni mtu aliyejihami kwa lolote kufa Au kupona.

Hii amani tuliyonayo inatufanya wajuaji sana, kwa wale walokuwa kwenye ile daladala wakikusikia unasema huu ugoro hapa wanaweza kukulaani kabisa.

Usicheze na mtu aliyejihami
 
B
Kuna wazee wa interogation wewe usiombe kukutana wanakupiga kisu cha gotini. Hujasema unapigwa cha mkundn hujasema unamaliziwa chs koromero c bora lingekufa kifo hicho kuliko kuuliwa kwa lisasi fasta vile🤣🤣🤣
Baba yako polisi nini mbona umepanic
 
Dereva wa kingora kapanda kingo ya barabara. Angepasua tairi sijui ingekuwaje. Madereva wa magari bosi na wasaidizi wametulia kichawani.
Mtero wa kukimbia kifo kwanza katoka akafunika kinv'ora chake ndio akatoa gari baru
 
Wangemsubiri mpaka aishiwe risasi then wamkamate....bunduki aliyokuwa nayo inajulikana idadi ya risasi inazoweza kubeba kwa wakati mmoja. Sasa polisi watakosa pakuanzia kuhusu huyu mtu ametoka wapi, ana lengo gani, je yuko pekee yake au ni kundi kubwa na je wanapatika wapi...nchini au amevuka mpaka...! Hizi zote ni taarifa muhimu sana kiintelligensia.
Hapa umefikiri kabisa umemaliza? Yani aachwe hadi risasi ziishe? What if angeamua kuzimalizia kwa wale raia walokuwa kwenye daladala?
 
Kwa hali ya ugaidi wa kujilipua kulikua hakuna namna sababu angeweza kuwa kavaa mabomu mkamsogelea akalipukana askari. Kumuua sijalumu kabisa.
 
Kwa ujasiri wa leo askari wanapaswa kupongezwa......vp kama huyo jangil angeamua kupiga risasi randomly
 
Hizo nguvu hatuna watanzania badala ya kukimbia nd

Marekani, Ufaransa, Sweden na Uingereza walishatokea watu kama hawa lkn walikamatwa na kuhojiwa.
Tuache mambo ya kwenye vijiwe basi, ebu kafatilie waharifu wanaouawa kwenye izo nchi kwenye matukio ya uvamizi angalau upate cha kuandika na sio kuropoka tu
 
Yaaani za magotini zingemfaa zaidi😡😡🤬🤬
Nyie watu nyie wangempiga za magotini tu!!?
wakati hata baada ya kuanguka waliendelea kumchapa shaba za mk.unduni.....
kuhakikisha kwamba amekufa kabisa
 
umeanza vizuri umekuja kuharibu tu hapo kwenye chadema
hivi ungelikuwa ni wewe unaona kabisa mtu anafyatua ana ua watu uanze kuchagua tena sehemu ya kumdhibiti kweli? you not serious

hajauwa watu kauwa polisi
 
Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.

Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
  • Ni nani?
  • Katumwa na nani?
  • Yuko na akina nani (wako wangapi)?
  • Nini dhamira yao?

- Nini chanzo cha wao kufanya hivi?

Kwa kumuua hawajatatua tatizo.

Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.

Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu??
Ameacha maswali mengi sana hata kujua wenzake na nia yao itakua ngumu ingawa vitambulisho vinaweza kuwa traced ni wapi anakaa na wenzake marafiki ninkina nani...
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.

Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
  • Ni nani?
  • Katumwa na nani?
  • Yuko na akina nani (wako wangapi)?
  • Nini dhamira yao?

- Nini chanzo cha wao kufanya hivi?

Kwa kumuua hawajatatua tatizo.

Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.

Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu??
Kwanimi hujaenda kumkamata?
 
Mtu hatari mwenye silaha zote hizo anayerusha risasi hovyo hovyo apigwe risasi za mguu ili akamatwe?

Mnacheza nyie.

Huyo alikuwa anahatarisha maisha ya watu na ni kazi ya law enforcement kuiondoa hiyo hatari.

Hakuna mambo ya kujadili wala sijui kutafakari apigwe wapi risasi.

Mnyunyizie risasi zote, hata kama ni 1,000, ili mradi hatari kwa watu iondoke.

Heko polisi.
 
Back
Top Bottom