Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa
Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.

Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
-Ni nani?
-Katumwa na nani?
-Yuko na akina nani (wako wangapi)?
-Nini dhamira yao?

-Nini chanzo cha wao kufanya hivi?

Kwa kumuua hawajatatua tatizo.

Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.

Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu??
Hata kaka nchomali ataitwa nchagga
 
[emoji28][emoji28]Bongo sihami
255654759291_status_3b382e73ee8c444c96b8a0ee49dbccef.jpg
 
No Vicky. "Enhanced interrogation" itakufanya useme tu. We're not sure hata kama ni gaidi. Sidhani kama kuna gaidi mjinga kama huyu bwana. We would get crucial information. Police must say something. Who's this guy?
Utasikia statement ya "manjago" wetu ikituambia kuwa huyo gaidi alikuwa ametumwa na gaidi mwenzie aliyeko Ukonga hivi sasa!
 
Jamaa amepenyaje na kufanya tukio la aibu sehemu yenye ulinzi kama hapo,pamezungukwa na Ofisi Za Mabalozi na Jirani mita kama 300 kufika kwenye offisi za Usalama wa Taifa?Aibu sana kwa Usalama wa Tanzania,Sasa ikitokea kule Mapangoni Tanga si itakuwa balaa!!!
Huu mtaa mpaka makumbusho kule ndiyo Silicon Valley ya Tanzania..hatari sana!
 
Hindsight is 20/20

Hapo Angeminya Trigger na kuwafyatulia wananchi kadhaa tungejiuliza kwanini hawakumpiga risasi ya kichwa haraka na kummaliza baada ya kufyatua yake moja tu
 
Tanzania police inachekesha yan jamaa mpaka anaanza kuwambia watu wa magari wapite linatamba barabaran lakn linawasumbua je yangekua matatu
 
Mtu ana silaha na anaua watu .Kwa nini mmuache ?By the way huwa hawasemi hawa wala kutoa ushirikiano kwa polisi. Wanakula yamini hawa magaidi. Bora wameliua tu.
Angesema tu ... Trust me ... Angesema hata kama amekula yamini kiasi kikubwa vipi. Hakupaswa kuuawa. Alitakiwa awe neutralized. Alikuwa mtu muhimu sana...sana.
 
Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.

Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
-Ni nani?
-Katumwa na nani?
-Yuko na akina nani (wako wangapi)?
-Nini dhamira yao?

-Nini chanzo cha wao kufanya hivi?

Kwa kumuua hawajatatua tatizo.

Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.

Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu??
Wamezoea kupambana na CHADEMA na Magaidi fake,aya sasa Magaidi org wameanza taratibu kuwaonyesha nini maana ya ugaidi.
 
Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.

Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
-Ni nani?
-Katumwa na nani?
-Yuko na akina nani (wako wangapi)?
-Nini dhamira yao?

-Nini chanzo cha wao kufanya hivi?

Kwa kumuua hawajatatua tatizo.

Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.

Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu??
Siyo tu kushindwa tu kumkamata, bali pia ameweza kuua polisi wawili
 
Kabisa angetusaidia sana kama nchi yaaaan kujua anakotoka, source ya kufanya hivo n.k askar wetu shui wanakwama wap japo wanejitahidi hongera kwao
 
Mtu aliyeshika silaha hudhibitiwa kwa kutumia silaha. Anaepigwa miguuni ni yule asiyeshika silaha lakini hatoi ushirikiano. Ukimjeruhi tu mweye silaha ana uwezo wa kuzipia hovyo risasi zilizobakia na kuua hata wasiohusika.... Kama wamemuua ni sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom