No Vicky. "Enhanced interrogation" itakufanya useme tu. We're not sure hata kama ni gaidi. Sidhani kama kuna gaidi mjinga kama huyu bwana. We would get crucial information. Police must say something. Who's this guy?
Msiwabeze POLISI wetu, wameshapata kila kitu kutoka kwa familia mpaka mafaili ya ugonjwa hata huko alikoenda chukua mafunzo, hata kabla ya kuuawa aliyoyatamka na ndugu wanaelezea nia yake, tusivuruge yaliyotokea, subiri audio za ndugu zake, huyu Hassan asingebakizwa hata dk 10 ni mhemuko tu hana lolote kaamka na raba zake kwenda vitani
View attachment 1908124
 
Inategemea na situation mkuu, that was the right choice ukiangalia alikua anashoot hovyo
Yani mkuu acha tu, watanzania sisi tunajua kila kitu... Mtu ana AK mbili trna ziko loaded unasema usimuue na huku yy ameshaua na kujeruhi watu kadhaa
 
Kuna wazee wa interogation wewe usiombe kukutana wanakupiga kisu cha gotini. Hujasema unapigwa cha mkundn hujasema unamaliziwa chs koromero c bora lingekufa kifo hicho kuliko kuuliwa kwa lisasi fasta vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Angepelekwa Sitakishari angesema mwenyewe kuwa "sitaki shari".
 
Mtu ana silaha na anaua watu .Kwa nini mmuache ?By the way huwa hawasemi hawa wala kutoa ushirikiano kwa polisi. Wanakula yamini hawa magaidi. Bora wameliua tu.
Polisi walikuwa sahihi kumuua!

Karushiana nao risasi. Kaua watu kadhaa.

Hakuna muda wa kumlenga sijui matakoni au kwenye ugoko.

Ni kumnyunyizia risasi mpaka ashindwe kurusha za kwake. Akifa in the process, so be it. After all, hicho ndicho alichokitaka. Kakipata.
 
Soo ulitaka aue
aue watu wengi? Au wewe ndio ulimtuma? Acha masihara kwenye vitu vya msingi. Good job vijana wetu wa police
 
Wale wameletwa kuleta vurugu ukanda wa afrika mashariki na M7 na mwenzake mtu mrefu nawatilia mashaka sana
Mm naungana na wewe
Kwanimi hujaenda kumkamata?
Polisi tunawalipa kwa kazi hiyo. Na wanastahili kufutwa kazi kwa uzembe huu. Wameapa kutulinda kwa kiasi cha kutoa uhai wao. Kama wanaogopa kufa waache kazi
 
Hqpana siyo kweli. Kule Ufaransa kulikuwa na mtu mwenye silaha tena alikuwa kwenye eneo lenye watu wengi lkn alidhibitiwa.

Hawa wa kwetu hovyo kabisa
 


Waacheni Askari wetu wafanye kazi yao, wao wanajua vizuri,sisi wengine tuendelee kupiga porojo tu hapa.Baada ya tukio kutokea na kuwa neutralized.Hongereni sana Askari wetu kwa ujasiri mkubwa mliouonyesha hapa.
 
Reactions: G4N
Umeandika kiushabiki tu, hujui chochote kuhusu situations kama hizo na hasa kama mtu anafyatua hovyo risari huku zikilenga watu.
Ningesikia idadi ya vifo ni zaidi ya 50 hapa ningekubari kuwa jamaa alikuwa anafyatua risasi ovyo, ila kwa kuwa mpaka sasa vifo ni vinne tu na majeruhi 6 basi jamaa alikiwa hafyatui risasi ovyo

Harafu jamaa aliacha kushambulia akawa ananyoosha mkono na kujipiga piga kifua mda huo ulikuwa sahihi kabisa kumlenga sehemu za kumudhoofisha na sio kumuua

Hapa kuna uzembe tukubari jamani, kwanza jamaa katamba mda mrefu sana

Yote kwa yote pole kwa familia za askari waliopeteza maisha, Mungu azilaze mahari pema peponi
 
Hakika we ni punguaniii

Wataalam na majasus wenye mipango huweza kumtumia mtu kama huyu kuwasoma mbinu zenu na akili zenu jinsi ya kutatua vipingamizii.

Sasa kisa mtu kuua watu mnapoteza target kwa kumiminia risasi mkizani mmesolve tatizo Kumbe nikuongeza tatizoo.

Ila sio mbaya wanajitahidi Police wetu



Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hahahaaa aisee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…