Askari wenye akili wangepiga risasi sehemu muhimu za yule mhalifu ili kumdhoofisha kama mikono, miguu ama mabega. Mwenyewe angenyoosha mikono.Achana na hizo stori za ufaransa... Tukio hilo la ufaransa lilikuwa na mazingira yake, tuzungumzie hili la leo!. Jamaa licha ya pistol aliyokuwa nayo bado alikuwa na SMG mbili, moja inaning'inia shingoni nyingine anaitumia kulenga kila anachokiona.... kumbuka SMG ina risasi thelathini na ameishaua watu wanne wewe unasema aachwe aue watu wapatao 30, aishiwe risasi wewe ndio ukamkamate?..... Wewe utakuwa askari kweli au askofu??.
Walikuwa wana-dramatize tu ili waonekane wanajua kitu halafu kqmera za tv ziwachukue. Hakuna kitu pale.Uwezekano wa kuvaa tisheti ya vilipuzi huwezi kuurule out. Hili utaliona kwa wale askari walioenda kuchukua silaha zile baada ya jambazi kuanguka chini walikuwa katika tahadhari kubwa.
kitendo cha kumuona tu....kama kweli ni gaidi maiti yake itazungumza...hivi sasa nina uhakika kuna watu wanazungumza nae huyo maiti...maiti huwa zinaongea na hii itaongea na kutapika nyongo yote...!Wamemuua kifo chepesi sana huyu bwana walitakiwa wamkamate akiwa hai wapate taarifa kutoka kwake kupeleleza anaishi wapi ndugu jamaa na maraiki asingetia ushirikiano wanammaliza huko huko tunapewa taarifa kauawa akipatiwa matibabu. 24 season iliniharibu saba😂😂😂
Mbona nasikia alikuwa ni Mwendawazimu? Je, kwa Uwendawazimu wake huo Ukimhoji unaweza kupata Majibu ya Kutosha?Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.
Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
- Ni nani?
- Katumwa na nani?
- Yuko na akina nani (wako wangapi)?
- Nini dhamira yao?
- Nini chanzo cha wao kufanya hivi?
Kwa kumuua hawajatatua tatizo.
Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.
Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu??
Hicho ni kichaka tu kimeundwa na polisi ili kuuficha ujinga wao waliofanya wa kumpiga risasi na kumuua mhalifu kabla ya kumhoji.Mbona nasikia alikuwa ni Mwendawazimu? Je, kwa Uwendawazimu wake huo Ukimhoji unaweza kupata Majibu ya Kutosha?
Point. Au hata angepigwa za miguu tu. Na aliyemuua ametumia risasi kama 5-8 hivi kupatia shabaha! Wakati jamaa mwenyewe alikuwa amesimama kama mti tu.
Askari kufa kwenye pambano is not a choice rather is a part and outcomes of their job. Na kwamba kama ikilazimika kufa na ikatokea hivyo, basi hiyo si ajabu....Vita ni vita mbona hufikilii askari wawili waliofariki
Hujui usemalo au ni mwenzako nini? Ameua halafu akamatwe na kupelekwa kula bure? Who told you kumbaff?umeanza vizuri umekuja kuharibu tu hapo kwenye chadema
hivi ungelikuwa ni wewe unaona kabisa mtu anafyatua ana ua watu uanze kuchagua tena sehemu ya kumdhibiti kweli? you not serious
Ina semekana aliwapiga risasi askari wawili mwanzo kwa kutumia bastola na kuwa pokonya hizo silaha nzito.Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.
Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
- Ni nani?
- Katumwa na nani?
- Yuko na akina nani (wako wangapi)?
- Nini dhamira yao?
- Nini chanzo cha wao kufanya hivi?
Kwa kumuua hawajatatua tatizo.
Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.
Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu??
Upelelezi wa Moto pale msamvu mpaka leo kimyaWaswahili tunapewa picha na habari tunaitangaza sisi kama kweli vile
Kwa kutengeneza story hatujambo
Tumeambiwa tusubiri upelelezi ila tayari tunajua kila kitu na hata movie tunaweza kutengeneza ila baadae tukafanya editing kidogo
Walikuwa wana-dramatize tu ili waonekane wanajua kitu halafu kqmera za tv ziwachukue. Hakuna kitu pale.
Polisi wetu ni wachovu
Mimi ndiyo maana nasema Afrika inahitaji walimu asilia wa maswala ya uchunguzi hasa polisi.Inategemea na situation mkuu, that was the right choice ukiangalia alikua anashoot hovyo
Hizo SMG mbili kazipoka kwa maaskari na hakuwa akizipiga ovyo. Alikuwa akivizia polisi tu tena alikuwa akitembea sehemu ya wazi (exposed) kabisa. Kapisahana njiani na wananchi kibao watembea kwa miguu na walio kwenye magari; hakuwafanya kitu.Achana na hizo stori za ufaransa... Tukio hilo la ufaransa lilikuwa na mazingira yake, tuzungumzie hili la leo!. Jamaa licha ya pistol aliyokuwa nayo bado alikuwa na SMG mbili, moja inaning'inia shingoni nyingine anaitumia kulenga kila anachokiona...