umeanza vizuri umekuja kuharibu tu hapo kwenye chadema
hivi ungelikuwa ni wewe unaona kabisa mtu anafyatua ana ua watu uanze kuchagua tena sehemu ya kumdhibiti kweli? you not serious
 
Wameshindwa kumdunga hata sindano ya mbali? Hatuna walenga shabaa
 
Marekani , Ufaransa, Sweden na Uingereza walishatokea watu kama hawa lkn walikamatwa na kuhojiwa.
Hizo nguvu hatuna watanzania badala ya kukimbia ndio kwanza wanakuja kuchungulia
 
Reactions: G4N
Umesema vyema kabisa. Huyu alopaswa kukamatwa sii kuuliwa. Hapo hawana clue yoyote
 
UNA PICHA YAKE AKIWA "AMEKUFA"
 
Mungu apishilie mbali isejekuwa katumwa na magaidi yaliyopo Msumbiji.
Hi itakuwa na athari hasi kwa utalii nchini
Yani unawaza utalii[emoji848][emoji848][emoji848]waafrika hawajipendi yanj unawaza kuwaona wazungu sio uhai wako na ndugu zako
 
Amefanya hivyo to minimize impact. Ufuatiliaji siku hizi ni mrahisi sana. Maswali ya interrogation ni mambo ya kizamani.
 
umeanza vizuri umekuja kuharibu tu hapo kwenye chadema
hivi ungelikuwa ni wewe unaona kabisa mtu anafyatua ana ua watu uanze kuchagua tena sehemu ya kumdhibiti kweli? you not serious
Ndiyo maana upolisi unasomewa
 
Ni kweli kabisa sasa tumeshindwa kujua idadi ya watu ambao wako nyuma yake hivyo ilipaswa wavunje miguu huku wakienda naye kwa umakini ili kupata data Muhimi pengine ile ilikuwa chambo tuu kupima nguvu ya maaskari wetu ikoje na tiyari wameshaijua
 
hakuna negotiation na mtu kama huyo, piga risasi mengine baadaye... kupata habari sio lazima umhoji unaweza kuinvestigate through others sources of him....jina, address, ndugu zake, rafiki zake, makazi yake, msikitini au kanisani kwake, mke wake. nk...

kwa muda huu hakuna mazungumzo na mtu mwenye AK's mbili mkononi zikiwa full magazine, tuache siasa... next time wenzie wanatakiwa watambue hakuna negotiation..
 
Umeandika kiushabiki tu, hujui chochote kuhusu situations kama hizo na hasa kama mtu anafyatua hovyo risari huku zikilenga watu.
 
Kuhusu Taarifa usiwaze..

watatumia simu yake (kama alikua nao)...kisha wataanza kubinya binya mmoja mmoja.


Hvi lengo la jamaa ilikua nn??? Maana kama nikuua Raia, angefyatua risasi kwenye Gari waloliojaa abiria.
 
Police wa bongo bhana mtu kasha dead ila bado ana shushiwa risasi za kutosha adi magazine iishe


chakazi kabisa hata risasi 1000...hata kama amevaa vest ya milipuko inamlipukia mwenyewe na kukatika vipande vipande...
 
Ila huyo Gaidi Naona alimiss kufa tu.

Sasa Gaidi gani anavamia kizembe hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…