Hata kaka nchomali ataitwa nchaggaPolisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.
Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
-Ni nani?
-Katumwa na nani?
-Yuko na akina nani (wako wangapi)?
-Nini dhamira yao?
-Nini chanzo cha wao kufanya hivi?
Kwa kumuua hawajatatua tatizo.
Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.
Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu??
Kuna wale askari wa wanyama pori walimkosa fisi risasi 49!!?Point. Au hata angepigwa za miguu tu. Na aliyemuua ametumia risasi kama 5-8 hivi kupatia shabaha! Wakati jamaa mwenyewe alikuwa amesimama kama mti tu.
Alikuwa anasubiri msafara ukageuza baada ya raia mwema kutoa taarifa..
Sikiliza hapa raia akitoa maelezo ikabidi msafara urudi.
Naomba niishie hapoView attachment 1907822
Aiseeh..
Utasikia statement ya "manjago" wetu ikituambia kuwa huyo gaidi alikuwa ametumwa na gaidi mwenzie aliyeko Ukonga hivi sasa!No Vicky. "Enhanced interrogation" itakufanya useme tu. We're not sure hata kama ni gaidi. Sidhani kama kuna gaidi mjinga kama huyu bwana. We would get crucial information. Police must say something. Who's this guy?
Mzalendo Mbowe bana.Huyu jamaa mwenye T-shirt atafutwe, ni mzalendo, amerisk maisha yake kuusogelea msafara ili awape taarifa kwa ukaribu.
Huu mtaa mpaka makumbusho kule ndiyo Silicon Valley ya Tanzania..hatari sana!Jamaa amepenyaje na kufanya tukio la aibu sehemu yenye ulinzi kama hapo,pamezungukwa na Ofisi Za Mabalozi na Jirani mita kama 300 kufika kwenye offisi za Usalama wa Taifa?Aibu sana kwa Usalama wa Tanzania,Sasa ikitokea kule Mapangoni Tanga si itakuwa balaa!!!
Mama Makakala CGI (Uhamiaji) angeingia matatizoni leo kama isingekuwa Raia kuwashtua na msafara kugeuza..Dereva wa kingora kapanda kingo ya barabara. Angepasua tairi sijui ingekuwaje. Madereva wa magari bosi na wasaidizi wametulia kichawani.
Osama hakujisalimisha!
Nguvu nyingi maarifa HAKUNA.Ni nguvu tu, hata kama wananchi hawajakichagua chama, polisi watasaidia kupenyeza kura.
Polisi wetu wana uoga fulani hivi. Najua ni vigumu wewe kuelewa hivyo kila mtu abaki na maoni yake.sasa kama polisi wawili alishawatwanga unatoa wap meno na wewe kusogea apo
Angesema tu ... Trust me ... Angesema hata kama amekula yamini kiasi kikubwa vipi. Hakupaswa kuuawa. Alitakiwa awe neutralized. Alikuwa mtu muhimu sana...sana.Mtu ana silaha na anaua watu .Kwa nini mmuache ?By the way huwa hawasemi hawa wala kutoa ushirikiano kwa polisi. Wanakula yamini hawa magaidi. Bora wameliua tu.
Wamezoea kupambana na CHADEMA na Magaidi fake,aya sasa Magaidi org wameanza taratibu kuwaonyesha nini maana ya ugaidi.Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.
Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
-Ni nani?
-Katumwa na nani?
-Yuko na akina nani (wako wangapi)?
-Nini dhamira yao?
-Nini chanzo cha wao kufanya hivi?
Kwa kumuua hawajatatua tatizo.
Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.
Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu??
Siyo tu kushindwa tu kumkamata, bali pia ameweza kuua polisi wawiliPolisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.
Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
-Ni nani?
-Katumwa na nani?
-Yuko na akina nani (wako wangapi)?
-Nini dhamira yao?
-Nini chanzo cha wao kufanya hivi?
Kwa kumuua hawajatatua tatizo.
Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.
Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu??
Wakipata cm yake wana taarif kibao... ushahidi muhimu sana umepote(a)(zwa).