Ni waoga sana hata kuwakamata CHEDEMA wanavaa masoksi usoni .πPolisi wetu wana uoga fulani hivi. Najua ni vigumu wewe kuelewa hivyo kila mtu abaki na maoni yake.
Right choice Right decision wangemuumiza wasingepata lolote. Hawa ni sawa na wafanyabiashara ya madawa ya kulevya hawasemi hata uwafanye nini.Inategemea na situation mkuu, that was the right choice ukiangalia alikua anashoot hovyo
Ukweli ni kwamba hali iliyonayo Tanzania kwa sasa, tuombe sana haya ya ziada kama ya ugaidi yapitie mbali.Right choice Right decision wangemuumiza wasingepata lolote. Hawa ni sawa na wafanyabiashara ya madawa ya kulevya hawasemi hata uwafanye nini....
Baba yako polisi nini mbona umepanicKuna wazee wa interogation wewe usiombe kukutana wanakupiga kisu cha gotini. Hujasema unapigwa cha mkundn hujasema unamaliziwa chs koromero c bora lingekufa kifo hicho kuliko kuuliwa kwa lisasi fasta vileπ€£π€£π€£
Mtero wa kukimbia kifo kwanza katoka akafunika kinv'ora chake ndio akatoa gari baruDereva wa kingora kapanda kingo ya barabara. Angepasua tairi sijui ingekuwaje. Madereva wa magari bosi na wasaidizi wametulia kichawani.
Atapewa zawadiHuyu jamaa mwenye T-shirt atafutwe, ni mzalendo, amerisk maisha yake kuusogelea msafara ili awape taarifa kwa ukaribu.
Na ww hujasoma vizuri kwamba amepokonya kwa askari!!?Gaidi hilo somali AK 47 limeitoa wapi ?Kuna watu nyuma yake.
Hapa umefikiri kabisa umemaliza? Yani aachwe hadi risasi ziishe? What if angeamua kuzimalizia kwa wale raia walokuwa kwenye daladala?Wangemsubiri mpaka aishiwe risasi then wamkamate....bunduki aliyokuwa nayo inajulikana idadi ya risasi inazoweza kubeba kwa wakati mmoja. Sasa polisi watakosa pakuanzia kuhusu huyu mtu ametoka wapi, ana lengo gani, je yuko pekee yake au ni kundi kubwa na je wanapatika wapi...nchini au amevuka mpaka...! Hizi zote ni taarifa muhimu sana kiintelligensia.
Hizo nguvu hatuna watanzania badala ya kukimbia nd
Tuache mambo ya kwenye vijiwe basi, ebu kafatilie waharifu wanaouawa kwenye izo nchi kwenye matukio ya uvamizi angalau upate cha kuandika na sio kuropoka tuMarekani, Ufaransa, Sweden na Uingereza walishatokea watu kama hawa lkn walikamatwa na kuhojiwa.
Nyie watu nyie wangempiga za magotini tu!!?Yaaani za magotini zingemfaa zaidiπ‘π‘π€¬π€¬
umeanza vizuri umekuja kuharibu tu hapo kwenye chadema
hivi ungelikuwa ni wewe unaona kabisa mtu anafyatua ana ua watu uanze kuchagua tena sehemu ya kumdhibiti kweli? you not serious
Ameacha maswali mengi sana hata kujua wenzake na nia yao itakua ngumu ingawa vitambulisho vinaweza kuwa traced ni wapi anakaa na wenzake marafiki ninkina nani...Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.
Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
- Ni nani?
- Katumwa na nani?
- Yuko na akina nani (wako wangapi)?
- Nini dhamira yao?
- Nini chanzo cha wao kufanya hivi?
Kwa kumuua hawajatatua tatizo.
Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.
Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu??
Kwanimi hujaenda kumkamata?Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua.
Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano:
- Ni nani?
- Katumwa na nani?
- Yuko na akina nani (wako wangapi)?
- Nini dhamira yao?
- Nini chanzo cha wao kufanya hivi?
Kwa kumuua hawajatatua tatizo.
Polisi wetu Wana ujasiri wa kuwakamata CHADEMA tu.
Kanda maalumu ya polisi jijini Dar imeshindwa vipi kumkamata mtu huyu mmoja tu??