Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

Idadi ya wanaume wanaouwa wanawake ni kubwa ukilinganisha na wanawake kwamba wanaume hamkuubwa na uvumilivu ama shda n nn
 
Duh hajaona hasara vile anajua hata huko jela hatakaa ataondoka. Ila yote hii inasababishwa na tabia ya ndugu wa mume kudhulumu mali wajane vinginevyo mke asingehangaika kutaka kuhamisha jina wakati anajua mume aking'ata shuka nyumba inabaki yake
Uko sahihi, mke alikua anataka umiliki halali wa mali za mumewe, kuogopa baadae ndugu wa mume kumpora.
 
Sasa kama alikuwa na kansa na hatapona anagombea nyumba ya Nini wakati mke atabaki na watoto? Mi naona lilikuwa wazo zuri zaidi kubadili hati ili asitokee mtu akadai
 
Kumbe wee uko na persecution zako tayari, umeambiwa kuwa mumewe ni mgonjwa na hawezi kupona, unasema eti university graduate, unadhani ndugu wa mume wanajari hilo?
 
mtazamo wako ni tofauti kidogo.

1.uwe na uwezo wa kutofautisha weupe na uzuri kwa mtazamo wako wazungu warabu na wa asia wote ni wazuri na pisikali
2. futa picha za watoto kwani watakuwa na ingekuwa ni wewe usingependa kuona au kukuta picha zako za utotoni na kuongelewa vibaya kwa baba yako
 
message na picha ya nn sasa dr wewe
 
Manslaughter na bunduki,manslaughter na migogoro yote iliyokuwepo kabla? Manslaughter wakati inatajwa jamaa hakuwepo miezi miwili aliporudi Moja kwa Moja akaua.Hapo hakuna manslaughter mkuu,hii ni murder.
 
kujua mume muda wowote anang'ata shuka, ndipo kaanza harakati za kutaka nyumba hiyo iwe kwa jina lake na watoto pekee


shi
da ni nini nyumba si yafamilia unakufa weka hata jina la mtoto maana majina mawili ni utata kwa matumizi ya mbeleni na mikopo
 
Sote twatakiwa tujiulize?
Tumetokea wapi? Tokea wapi?
Ukipata jibu sawazisha kwa polepole oooh
Dunia ya Mola sio kwenda nayo kwa mapepe oooh
Mwisho wake sote tunarudi kwa udongooo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…