balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,841
- 15,673
Nani alimuona akiuwa?
Unajua maana ya confession? Submission je? Haya Kuna ushahidi wa dada wa KAZI na Kuna forensic evidence ,unafikiri hiyo bastora haitafanyiwa uchunguzi ili uwe ushahidi? Unafikiri alipofikanpolisi alipigwa kimya? Umeuliza swali la kitoto sana .Nani alimuona akiuwa?
Hebu tusome kauli hii ya Wicknell Chivayo nimeitafsiri from English to swahili aliyoandika kwa uchungu tarehe 20 Machi 2026:Aliiandika wapi hii? Hivi kila mtu akiamua kuandika mambo anayopitia kwenye mahusiano si hapatatosha? Kwangu mimi ni ujinga na upumbavu.
Haujajibu swali, nani ni eye witness?Unajua maana ya confession? Submission je? Haya Kuna ushahidi wa dada wa KAZI na Kuna forensic evidence ,unafikiri hiyo bastora haitafanyiwa uchunguzi ili uwe ushahidi? Unafikiri alipofikanpolisi alipigwa kimya? Umeuliza swali la kitoto sana .
Naelewa sana ila kuna baadhi ya familia huwa wanajitoa ufahamu. Ningesimulia issue yangu ila nasita kuna watu wanaweza kufahamu mimi ni nani. Walitaka kujaribu pamoja na kwamba mimi nimeenda shule vizuri tu.Zipo kwa sababu wanakutana wote ni malayman.
Ndio maana hoja yangu kubwa ni kwa huyu dada ni University graduate mwenye exposure kubwa huwezi kumletea kekundu keupe.
Mimi binafsi ni Msimamizi wa Mirathi ya Baba yangu, mama yupo hai sijagawanya mali yoyote ya marehemu zitabaki hapo kama tulivyokubaliana kifamilia.
Mzee alishagawaga asset kwa kila mtoto, vilivyobaki ni vya mama hakuna kugawa chochote kwa sasa.
Kuna wakati kama mnaishi kwa utu msifuatishe sana sheria za kimahakama ni chanzo cha umaskini, jiulize kwa nini kizazi chetu kiwe cha kuuza tu mali za urithi? Kwa nini wajukuu wasikute memory Babu yao alikuwa nani?
Wahindi hawagawani mali za marehemu wanaendeleza utajili, sisi tunagawana unauza unatamba mtaani miezi miwili chali unabaki kuwa simulizi mtaani, au unakuta hawahawa dada zetu mnagawia nyumba anauza pesa anamkabidhi bwana wake ili ampende zaidi.
Naandika haya through my experience, hata Waislamu walipotaka mahakama ya kadhi wana hoja ila hawajui kuwasilisha tu hoja zao.
Ushahidi siyo lazima eye witness,tunaangalia relevancy na admissibility ya ushahidi.Kama ingelazimu kuwe na eyewitness basi kusingekuwa na mwenye hatia.Haujajibu swali, nani ni eye witness?
Unadhani tatizo ni lugha? Bado msimamo wangu ni ule ule. Ni ujinga na upumbavu.Hebu tusome kauli hii ya Wicknell Chivayo nimeitafsiri from English to swahili aliyoandika kwa uchungu tarehe 20 Machi 2026:
Wakati mimi NIKIWA NAENDELEA KUFURAHIA MAISHA na kujisikia NINAPENDWA SANA na MKE WANGU PEKEE, huku tukisherehekea MWAKA WETU WA KWANZA WA NDOA nchini Uswisi, Milan na LONDON, nimeelezwa kuhusu baadhi ya video ZA AJABU NA ZENYE KUCHUKIZA SANA zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Nimeambiwa na marafiki na familia wenye wasiwasi kwamba mwanamke ambaye NILIZOELEA KUMWITA MKE WANGU ana baadhi ya “SHARTI NA MASHARTI” kwa ajili ya BARIKA 😂😂😂.
Ingawa kwa kweli jambo hili ni LA KUSIKITISHA, lazima pia niseme kwamba LINACHEKESHA!!!
Hii inakuja wiki chache tu baada ya kukutana na video nyingine YA KUSHTUA NA ISIYO NA MANTIKI, ambayo ilidaiwa kwamba nilitumia MASAA MATATU nikimsihi anione.
Kusema kweli, WINGI NA UZITO WA MAJUKUMU YANGU YA BIASHARA, pamoja na kiwango cha maisha ninachofurahia sasa, HAVINGEWAHI KUNIRUHUSU kutumia masaa matatu kamili nikiwa nimekaa kwenye Rolls-Royce ya mwaka 2026, nikimsihi MKE WA ZAMANI anione kwenye mali ambayo NILIINUNUA KWA PESA ZANGU MWENYEWE.
Baadhi ya uongo na simulizi zilizotungwa huwa HAZINA MANTIKI NA ZIMEUNDWA KWA UJUZI MDOGO kiasi kwamba zinajifichua zenyewe.
Kwa bahati mbaya, MIMI NA MKE WANGU tumepokea UJUMBE NA SIMU NYINGI SANA kutoka kwa marafiki na ndugu; baadhi yao hata walikuwa wakinipongeza kwa kejeli kuhusu MAENDELEO YA NDOA YA MKE WENGI YALIYOKUWA YAMEFIKIRIWA TU.
Niruhusuni niweke jambo hili WAZI SANA: Hilo HALITATOKEA KAMWE, KAMWE, KAMWE.
Sina kabisa nia yoyote, iwe sasa au wakati wowote ujao, ya KURUDIA KUISHI NA MKE WANGU WA ZAMANI, kwa hali yoyote ile, iwe katika hisia au katika ndoa.
Nilikaa MIAKA 7 YA KUCHOSHA SANA na huyo mwanamke, na kurasa hiyo ya maisha yangu IMEFUNGWA NA IMEBAKI HISTORIA.
Mimi NIMEOA KWA FURAHA NA NINA AMANI. Sirudii kufungua kurasa ambazo zilikaribia KUNIVUNJA, kwa sababu tu mtu mwingine ameshindwa kuendelea na maisha yake.
Katika miaka niliyokaa na huyo mwanamke, nilivumilia UNYANYASAJI WA KIHISIA, ambao uliacha makovu makubwa katika hali yangu ya KIAKILI NA KIROHO.
Mnamo Februari 2024, alirudi nyumbani akiwa AMELEWA WAZI saa 8 usiku, na akaweka wazi kabisa kwamba HATAKA TENA KUWA NA UHUSIANO WOWOTE NA MIMI, kisha AKANIPA DOLA MOJA YA MAREKANI (US$1) KAMA “GUPURO”.
Nililipokea jambo hilo kwa MOYO MZITO NA MAUMIVU, hasa kwa ajili ya watoto wangu wadogo, lakini pia nilihisi FARAJA KUBWA, kwa sababu huo ulikuwa wakati wa KUJIKOMBOA KUTOKA KATIKA UTUMWA WA KIHISIA, kutoka kwenye taasisi ambayo nilidhani ingeniletea amani na mwenza wa maisha.
Yaani namshangaa kweli huyu kijana.Ushahidi siyo lazima eye witness,tunaangalia relevancy na admissibility ya ushahidi.Kama ingelazimu kuwe na eyewitness basi kusingekuwa na mwenye hatia.
Mimi nitamnyooshea kidole yeyote bila kujali jinsia yake.Naelewa sana ila kuna baadhi ya familia huwa wanajitoa ufahamu. Ningesimulia issue yangu ila nasita kuna watu wanaweza kufahamu mimi ni nani. Walitaka kujaribu pamoja na kwamba mimi nimeenda shule vizuri tu.
Hisia mkuu, typo!Hispanic ni nini kwa mwanaume?
Huwezi kumuita mjinga na mpumbavu mtu anayechezea ikulu za Africa kama sebuleni kwake Mukuru Wemazuva.Unadhani tatizo ni lugha? Bado msimamo wangu ni ule ule. Ni ujinga na upumbavu.
Ondowa keybord prediction.Hisia mkuu, typo!
Simu hizi zinajiletea uhuru wa kuandika
Tayari mkuu!Ondowa keybord prediction.
Sasa chukuwa study case kwenye kesi ya Zombe ndio utaelewa majaji hawaongozwi kwa miluzi.Ushahidi siyo lazima eye witness,tunaangalia relevancy na admissibility ya ushahidi.Kama ingelazimu kuwe na eyewitness basi kusingekuwa na mwenye hatia.
Hapo ukute kuna kibaka tu mwenye muda anampakia vumbi la Congo anaona mume wake si lolote tena.HAPO ANAJIANDAA KUONANA NA MWANASHERIA KISA GHOROFA ANATAKA TALAKA AISEE
Hata baba ingetokea asingewagaia mapema mkuu mngesubiria mama apunzike kwanza mbele za haki ndio mgawaneZipo kwa sababu wanakutana wote ni malayman.
Ndio maana hoja yangu kubwa ni kwa huyu dada ni University graduate mwenye exposure kubwa huwezi kumletea kekundu keupe.
Mimi binafsi ni Msimamizi wa Mirathi ya Baba yangu, mama yupo hai sijagawanya mali yoyote ya marehemu zitabaki hapo kama tulivyokubaliana kifamilia.
Mzee alishagawaga asset kwa kila mtoto, vilivyobaki ni vya mama hakuna kugawa chochote kwa sasa.
Kuna wakati kama mnaishi kwa utu msifuatishe sana sheria za kimahakama ni chanzo cha umaskini, jiulize kwa nini kizazi chetu kiwe cha kuuza tu mali za urithi? Kwa nini wajukuu wasikute memory Babu yao alikuwa nani?
Wahindi hawagawani mali za marehemu wanaendeleza utajili, sisi tunagawana unauza unatamba mtaani miezi miwili chali unabaki kuwa simulizi mtaani, au unakuta hawahawa dada zetu mnagawia nyumba anauza pesa anamkabidhi bwana wake ili ampende zaidi.
Naandika haya through my experience, hata Waislamu walipotaka mahakama ya kadhi wana hoja ila hawajui kuwasilisha tu hoja zao.
UmeanzaHuyo brother anaonyesha alikua anapiga pombeee
Sura inaonyesha kakaUmeanza
Cc
Min- me