Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Kuna watu wanajiona ni wajuaji aisee! Imagine mtu anaandika eti hao ni watu wawili tofauti kaona utofauti kwenye mashavu.
 
Mfano huyu wa madafu ikulu ndo komando wa jeshi Cha ajabu nini komando kuwa ikulu siku ile iliyokuwa na wageni wengi?. Utauliza kwa nini wadanganye kuwa hakua mwanajeshi? Swali ni je nini kiliharibika kwa mjeda huyo kuwahudumia wageni wa ikulu kama machinga wa kawaida? Moral of the event ni katika suala la ulinzi hakuna kinachoshindikana mradi lengo lifikiwe. Expect unexpected 🤣🤣
 
Yule muuza madafu anaweza nae akawa mwanajeshi, lakini huyu wa Leo ni mtu mwingine tofauti. Wamefanana tu, ila ukiangalia vizuri utaona sio yeye. Hata muundo wa pua zao uko tofauti.
Pua zao ni tofauti, hata mimi nimeliona hili
Kila kitu wamefanana kasoro pua
 
Ni upuuzi tupu, wa-Tanzania haitusaidii kitu chochote.
 
Nimependa flana aliyovaa akiuza madafu, iliandaliwa vyema kuwa katika uhusika…
 
Basi mimi kuna watu nawafahamu kabisa wazuri mno katika karate, kick boxing, tae Kwon do na kuna kichwa kimoja kipo fiti mno katika wushu kipo MSF.
 
Kinachofanya watu kutokuamini kuhusu special force kutandikwa na MMA au raia wa kawaida kabisa ninayefanya mazoezi ni movies za holywood. 😂 😂
Namshukuru Mungu hizo sanaa nimezifanya mno ila kiukweli kabisa kuna vichwa pale tuache masihara kwasababu napaelewa.
 
Kama unaamini huyo ni mtu mmoja I got news for you... The sun revolves around the earth
 
Basi mimi kuna watu nawafahamu kabisa wazuri mno katika karate, kick boxing, tae Kwon do na kuna kichwa kimoja kipo fiti mno katika wushu kipo MSF.
Tanzania hakuna elite mixed martial artists.

Hata mabondia elite Tanzania hatuna.

Ila kwa viwango vya Kitanzania, si ajabu kuna posers mnaowaona ni wa maana sana ilhali hakuna kitu.

Heck, hata jeshi la Tanzania ni la 6 kwa ubora duniani 🤣.
 
Tanzania hakuna elite mixed martial artists.

Hata mabondoa elite Tanzania hatuna.

Ila kwa viwango vya Kitanzania, si ajabu kuna posers mnaowaona ni wa maana sana ilhali hakuna kitu.

Heck, hata jeshi la Tanzania ni la 6 kwa ubora duniani 🤣.
Sema si vyema kutaja majina au kuweka vitu hadharani ila kwa mtaa ni kweli ukiondoa watu kama kina kaseba kwenye kick boxing ni wachache sana na ni kweli hata mimi MMA sijawahi kuona wataalamu wake hapa ila vitu kama judo, karate, taekwondo, temva ka kuna watu wapo fiti na wengi wao ninao wafahamu ndiyo hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…