Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MI wanaamini TI ni wanasiasa na hawako proffessional ndio sababu kubwaIla sijui kwanini MI huwa hawaziamini sana taarifa za ma TI.
Pua zao ni tofauti, hata mimi nimeliona hiliYule muuza madafu anaweza nae akawa mwanajeshi, lakini huyu wa Leo ni mtu mwingine tofauti. Wamefanana tu, ila ukiangalia vizuri utaona sio yeye. Hata muundo wa pua zao uko tofauti.
Ni upuuzi tupu, wa-Tanzania haitusaidii kitu chochote.Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja akasema anasoma NIT.
Tafadhali tutazame picha na kila mtu atakuwa na jibu lake!
Pia soma
- Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?
View attachment 2974869
View attachment 2974798
View attachment 2974800
🌹Pua zao ni tofauti, hata mimi nimeliona hili
Kila kitu wamefanana kasoro pua
Mnunue madafuMmetuchosha sasa, kila mtu muuza madafu muuza madafu, kwa hiyo mnataka tufanyeje?
🖕🖕🖕🖕x 100 times the American military budget.
Kwa kweli huwa nashangaa sana kuona kuna watu wanapoteza mda kumfollow na kamsikiliza, hasa magentlemenWe unaona mtu ni mfuasi wa Mange halafu unashangaa kusema "pyee"
Ilikuwa igizo la kishamba lililofanywa na washambaKwani shida ni nini?
Basi mimi kuna watu nawafahamu kabisa wazuri mno katika karate, kick boxing, tae Kwon do na kuna kichwa kimoja kipo fiti mno katika wushu kipo MSF.Maswali mazuri hayo.
Tuanze na fasili kwanza.
Martial arts ni nini? Ni sanaa za mapigano.
Sanaa hizo ni masumbwi [boxing], mieleka [siyo ile ya WWE ya akina Bianca Belair😉], kickboxing, jiu-jitsu, judo, karate, aikido, n.k.
MMA [Mixed martial arts] ni nini? Ni mchanganyiko wa hizo sanaa za mapigano na kutengeneza mchezo au mashindano yanayohusisha hizo aina zote za mapigano.
Kwenye MMA unaruhusiwa kumpiga teke mshindani wako. Unaruhusiwa kumpiga kifuti. Unaruhusiwa kumpiga kipepsi. Unaruhusiwa kumpiga kabali. Unaruhusiwa armbar [sijui Kiswahili chake]. Unaruhusiwa heel hook [sijui Kiswahili chake]. Unaruhusiwa kurusha mangumi.
Kwa ufupi, kwenye MMA unaruhusiwa kutumia mbinu nyingi kumshinda mpinzani wako.
Askari wa special forces, wanafunzwa basics tu [mambo ya msingi] za kujihami, basi.
Hapigani kikweli kweli. Anapewa tu hiyo elimu ikitokea anaihitaji, ataitumia kujinasua kutoka kwenye mbananisho.
Professional MMA fighter, yeye ndo ajira yake hiyo. Kupigana na MMA fighters wengine kwenye mashindano.
Sasa, kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu kupewa mafunzo ya msingi ya kujihami na mtu ambaye ajira yake ni kupigana ili aweze kulipwa ujira.
Na ndo maana ni nadra sana kukuta mtu aliyepo au aliyewahi kuwa kwenye special forces kufanya vizuri kwenye mashindano ya MMA.
Hapana mkuu hivi ni kweli kabisa mazingira yale unaingia from no where?Ilikuwa igizo la kishamba lililofanywa na washamba
Namshukuru Mungu hizo sanaa nimezifanya mno ila kiukweli kabisa kuna vichwa pale tuache masihara kwasababu napaelewa.Kinachofanya watu kutokuamini kuhusu special force kutandikwa na MMA au raia wa kawaida kabisa ninayefanya mazoezi ni movies za holywood. 😂 😂
Tanzania hakuna elite mixed martial artists.Basi mimi kuna watu nawafahamu kabisa wazuri mno katika karate, kick boxing, tae Kwon do na kuna kichwa kimoja kipo fiti mno katika wushu kipo MSF.
Sema si vyema kutaja majina au kuweka vitu hadharani ila kwa mtaa ni kweli ukiondoa watu kama kina kaseba kwenye kick boxing ni wachache sana na ni kweli hata mimi MMA sijawahi kuona wataalamu wake hapa ila vitu kama judo, karate, taekwondo, temva ka kuna watu wapo fiti na wengi wao ninao wafahamu ndiyo hao.Tanzania hakuna elite mixed martial artists.
Hata mabondoa elite Tanzania hatuna.
Ila kwa viwango vya Kitanzania, si ajabu kuna posers mnaowaona ni wa maana sana ilhali hakuna kitu.
Heck, hata jeshi la Tanzania ni la 6 kwa ubora duniani 🤣.