Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

mwanasiasa🙌🏾🙌🏾🤣🤣🤣🤣
 
Mbona ni jambo la kawaida tuu hiloo ??
 
Captain Commando naona Begani ana ⭐️⭐️⭐️ hiki ndio cheo ya Muuza madafu wa ikulu?

Tena jamaa ana bawa kifuani maana yake ni
kwamba amemaliza kozi zote za ukamando 92KJ Ngere what? Ngerengere
 
Nilisema humu.

Huyo Mama alikuwa anakataa kusikiliza chochote kutoka kwa watu hohehahe kwenye ziara zake halafu ghafla wapate gate pass ya kuingia ikulu kuuza madafu.

Ilikuwa A Sultan Tamba film.

Halafu unamleta tena kwenye kadamnasi mtu huyohuyo aliyetoka kuchafua hali ya hewa!
 
Umenikumbusha maigizo ya mchoma mahindi alipomuuzia Magu hindi la kucoma kule Dumila, naye akalila hadharani huku walinzi wake wakimtazama tu!!
Hili la kununua hindi sidhani kama haliwezekani. Siyo rahisi muuza mahindi (hata kama ana nia mbaya) kujua kuwa rais atapita hapa leo na kununua hindi X kati ya mahindi mengi alionao.
 
Hii ya boda boda nakubalii, kuna kitu nilinote kwa boda m1 hivi hapa mtaani, yaan kwa ufukunyuku wangu niliona sio boda wa kawaida kabisaa,
Nawafahamu wengi walioko kwenye hiko kitengo, imesaidia system kuwa na updated taarifa kuliko zamani maana Boda Boda wengi hupata taarifa Kwa urahisi hata ukivusha demu usiku wa saa 8 wao hujua

Kama utakuwa threat unadhibitiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…