Huyu mwanamke kila akipata hela lazima anikumbuke hata kama ni hela ndogo, nahisi kumpenda sana

Huyu mwanamke kila akipata hela lazima anikumbuke hata kama ni hela ndogo, nahisi kumpenda sana

Mbinu ya kisaikolojia inayoitwa reverse psychology unafahamu inavyofanya kazi?

Hapo hamna huruma wala nini , anachokifanya huyo mwanamke tunakiiita strategic positioning, anaelewa wanaume wengi tumezoea wanawake wa "nitumie na ya kutolea".

Kwa hiyo ameamua kucheza na saikolojia yako kwa kukutengenezea mazingira ya wewe kuwa unajihisi hatia, ndiyo maana unajikuta unamtumia hela bila yeye kuomba, na nina amini hela ambazo wewe unatoa lazima itakuwa ni kubwa kuzidi anazotoa yeye, kaweza kucheza na akili yako mpaka umeamua kumuanzishia mpaka uzi.
Angekuwa after money angekuwa anaomba hata kabla mm sijamtumia, nadhani hiyo ni tabia yake kwasabab hata kama asingekuwa ananipa vihela vyake bado mm ningekuwa Nampa kwasabab mm ni mwanaume
 
Kuna watu ni watoaji tu… ama basi anatengeneza a team, awe mtu wako uwe mtu wake… Which sioni kama ni kitu kibaya.

Tusimjudge dada wa watu kwa ambacho hajafanya, tumjudge kwa alichofanya.

Why yall triggered?
Hakika, mm naona ni the way alivo tu na so pesa tu juzi kaja kaleta mizawadi kama yote. Ni jinsi alivo
 
mimi na kushauri kaza buti jifunze ustaarabu zaid ya huo ulio nao .. mtendee mema usimlipe ubaya utajiundia carma .. mjali zaid na jifunze ustaarabu zaid ya huo ulio nao nimekukibali uko vizur nachukiaga sana wanaume wanao waachaga kiholela wapenz wao. au wale wanaume ma casanova *** them wanasababisha masingo mother kila kona ujinga tu hata akili za kujitambua hayana.
Namuombea sana na anajua napenda na ananipenda pia
 
NILICHOGUNDUA BAADA YA KUPITIA KOMENTI ZA WADAU KADHAA NI KWAMBA WENGI WAMESTUSHWA NA KUSHANGAZWA NA HUYU MCHUMBA WANGU KWASABAB EITHER EXPERIENCE WALONAYO NI TOFAUT NA HII YANGU AU ILIKUWA THE SAME ILA MWISHONI WALIGUNDUA ILIKUWA NI STRATEGY ILA KUMBUKA KILA KITU KINASABABU ZAKE AND HAMJATAKA KUNIULIZA LABDA MIMI NAHISI NI SABABU GANI ZILIZOMFANYA MCHUMBA WANGU ANIJALI HIVI. MIMI NADHANI NI KAMA IFUATAVYO.
1. NDIVO ALIVO
2. KARIDHISHWA NAMIMI KITU AMBACHO KINAMFANYA ANIPENDE KIASI ASIWE TAYARI KUNIPOTEZA
3. HESHIMA NINAYOMPA, HUYU DADA NAMUHESHIMU SANA NA NAMUONESHA MPKA KWA VITENDO, NAMPENDA NA MAMFANYA AJIONE NI MTU KATI YA WATU.

INGEKUWA NI STRATEGY BASI ANGEKUWA KASHACHOKA MAANA NI MIAKA MIWILI NOW ANAFANYA HIVO NA SIYO MTU WA KUOMBA HELA KWA KUSHAMBULIA, YANI ANAOMBA HELA KWASABAB MAALUMU NA ANAENDA KUITUMIA THE WAY EXACTLY KAMA ALIVOHITAJI.

USHAURI WANGU
MPENDE SANA ULIYENAYE, HATA KAMA UNATABIA ZA KIHUNI BASI FANYA KWA SIRI SANA USIMDHARAU MWANAMKE WAKO.

NILICHOGUNDUA WANAWAKE WANAHURUMA SANA, MIMI HAKUNA MWANAMKE NILIYEWAHI KUWA NAYE HALAFU ASIWE NA HURUMA NA KUNIJALI NAFIKIRI NI KWASABAB YA JINSI NAVOISHI NAO.

NISHAWAHI WEKA STORY HAPA YA MWANAMKE MMOJA STRANGER KULE KIGOMA, SHE LOVED ME AS ME NA ALIWEZA HATA KUNITUMIA NAULI NIENDE ILI TUONANE TUSPEND TIME TOGETHER, SO HIYO SIYO KITU YA KUSHANGAZA IT IS POSSIBLE KABISA.
 
Hakika, mm naona ni the way alivo tu na so pesa tu juzi kaja kaleta mizawadi kama yote. Ni jinsi alivo
Usisikilize watu wanaomjudge kutokana na eksipiriensi zao, hiko alichokuonesha huyo mwanamke wako ndio ishi nacho kwa sasa, akija kubadilika yeye ni binadamu, tutamhukumu from there.

NB: namna ya kuishi na huyo iwe tofauti kidogo, usimtreat kama unavyomtreat yule ambaye angepokea kutoka kwako kwa 💯 Busara hii itawapeleka mbali.
 
Hali ni mbaya kwenye dating pool😁 wanaume wengi akili yao haitaki kuamini kua wanawake kama wa mtoa mada bado wapo binti kiziwi
 
Usisikilize watu wanaomjudge kutokana na eksipiriensi zao, hiko alichokuonesha huyo mwanamke wako ndio ishi nacho kwa sasa, akija kubadilika yeye ni binadamu, tutamhukumu from there.

NB: namna ya kuishi na huyo iwe tofauti kidogo, usimtreat kama unavyomtreat yule ambaye angepokea kutoka kwako kwa 💯 Busara hii itawapeleka mbali.
Kabisa
 
Ila Kwa huyu mchumba yani ni anabangaiza mtaani ila akipata ananipigia cm ananambia kapata kiasi flani anaomba anigawie kidogo namimi nahisigi kutoa machozi kabisa na nakubaligi kwasabab naona kumkatalia itakuwa vibaya.
Oya Mwanetu nikwambie kitu, hizo hela unazopewa wewe hua tunampa sisi na yeye anakupa wewe. Naomba upigie mstari wa pambizo usiulize maswali mengi. Maana nakuona unajieleza sana huyo wa kwetu hua tunamalizana nae kisha kidogo tunachompa anakupa na wewe. Relax usije ukamkimbia huko mkoani akija umuoe usimletee mambo ya ajabu. Ninakusisitiza hizo hela anazikupa akija uoe usimkimbie.
 
Yaani mnapotezeana.! 😎

Halafu unabobga yeye simple na sio slay qeen 🤭

Dogo kajiunge na Kataa ndoa, unakoelekea sipo
 
Oya Mwanetu nikwambie kitu, hizo hela unazopewa wewe hua tunampa sisi na yeye anakupa wewe. Naomba upigie mstari wa pambizo usiulize maswali mengi. Maana nakuona unajieleza sana huyo wa kwetu hua tunamalizana nae kisha kidogo tunachompa anakupa na wewe. Relax usije ukamkimbia huko mkoani akija umuoe usimletee mambo ya ajabu. Ninakusisitiza hizo hela anazikupa akija uoe usimkimbie.
Hapo ndo akili yako imeishia bro, haya na wako akipigwa mtaani akapewa hela huwa anakupa hata kidogo kama wangu anavofanya?
 
Kwema binaadamu wenzangu mliomo humu?

Jamani kuna huyu mwanamke naweza sema ni mchumba wangu tuna kama miaka miwili toka tumefahamiana.

Tumepitia stages tofauti tofauti, kugombana, kupotezeana, kuumizana, kuenjoy na kununiana kama ilivo kawaida mambo ya mahusiano.

Huyu mwanamke ni aina ya wanawake simple, siyo slay queen, ni mtu focused sana.
Ni mwanamke ambaye namchukulia kama rafiki yangu, ndugu yangu, hana ujinga ujinga wala ugai gai.
Huyu mchumba anaishi mjini dasalama mimi nipo mkoani. Hana kazi ya kuajiriwa serikalini ila anaunga unga nayeye kitaa hapa na pale japo kwao siyo maisha mabovu kivile ila anapambana na mambo tofauti tofaut hapo dasalama.

Kikubwa ambacho kinanivutia sana Kwa huyu kimwana ni kwamba kila akipata kihela hata kama ni laki moja lazima aniambie na aniombe anipe kidogo hata kama ni buku teni au 15k inategemeana na anakuwa kapata shingap. Sometimes huwa nahisi huruma sana kwasabab hana kazi ya kueleweka kabisa anabangaiza ila ananipa hicho hicho kidgo na siyo kwamba nalia njaa kwake no sina hizo njaa ndogo za kuomba mpka 10k kwake na sijawah kumuomba hela na naonaga aibu kumuomba mpenzi wangu hela siyo yeye tu ila mpenzi wangu yeyote hata huko nyuma yani naogopaga sana hata kama nina shida kiasi gani siwezi kumuomba mpenzi hela.

Ila Kwa huyu mchumba yani ni anabangaiza mtaani ila akipata ananipigia cm ananambia kapata kiasi flani anaomba anigawie kidogo namimi nahisigi kutoa machozi kabisa na nakubaligi kwasabab naona kumkatalia itakuwa vibaya.

Hivi hapa katoka kunipigia cm kuna hela kidogo kaipata anataka anitumie hela kidogo na nashindwa kumkatalia kwasabab nahisi ntamuumiza.

Ila nachofanyaga namimi nampaga vihela Kwa kustukiza akipotea online najua hana vocha natuma vocha, video call niliona kachakaa kichwani nampa hela ya saloon japo sometimes anasemaga yupo vizuri anaweza kuhandle mwenyewe.

She is such a lady ambaye najihisi kabisa naenda kuachana na hawa ma kumbahewa wa mjini nijikite kwake nimpe mapenzi yote yeye maana hakuna nachokosa kwake, anajua how to make love in the bed, she is so romantic akinimiss anakuja na haombi hata nauli ya kuja ila ni mm tu najiongezaga kumpa kwasabab naelewa majukumu ya mwanaume.

Mungu nakuomba umlinde huyu mwanamke, umpe maisha marefu, umpe kila hitaji la moyo wake, umpe ajira, umpe moyo wa upendo na umlinde na hila zote za shetani. Amen!

Kuna wanawake na huyu mwanamke wangu jamani she seems to be absolutely different from many other girls out there

I love you (**********)
Unampenda yeye au unapenda pesa anazokutumia.
 
Back
Top Bottom