AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Hata ametunga ila ving'asti wapo na tunaishi nao.Kama utani, kumbe ni bonge la ushaurrrrrrrrrrr¡¡
Hata ametunga ila ving'asti wapo na tunaishi nao.Kama utani, kumbe ni bonge la ushaurrrrrrrrrrr¡¡
Km hajakusikia weka spika kubwa kisha ongeza sauti.
Kwan we hupendi kuwa na rafiki wa kike kama huyo¿Wivu tuu
Sitak urafiki na wakike yeyote yuleKwan we hupendi kuwa na rafiki wa kike kama huyo¿
Shida siyo kupigwa mada ipo mbali na unachokiongelea weweYeah kwa mimi wa kwangu hata wanaompigia misele tu ananionyesha umeliona lile fala eti linataka kunivua chupi nimelipiga cha mbavu na pesa zake nimekula na sijalipa chochote, ndio hivyo huwa ila huyo wa kwako mwanetu wana wanapiga mashuti tena yupo mbali wewe endelea kuhesabu magoli hizo 10 10 ndio magoli yenyewe hayo
The Bittersweet truth from your minor league coaches.
KabisaHii story ukiingalia kwa jicho la kisuperhero utagundua sio ya kweli.
AsanteKaribu mjini
AsanteInasikitisha sana.
Kilicho nifurahisha kwenye hii simulizi ya kutunga ni neno "dasalamu".
Kilichonisikitisha kwenye hii simulizi ya kutunga ni pale anaposema "huyu ni mwanamke ninayemuhitaji, maana kwake sina nnachokosa". Wakati kumbe anapewa elfu 10 tu.
Kongore kwake mtunzi.
Wewe king'asti endelea kula hela za wanaume wenzio, shida nini kwani?Shida siyo kupigwa mada ipo mbali na unachokiongelea wewe
Hahaha kazi ipo 😂😂Wewe king'asti endelea kula hela za wanaume wenzio, shida nini kwani?
Makofwiiii 👏👏👏Kula hizo hela mkuu kila ukipata nafasi, maana wakati upo nao wakati waja ambapo atavuna alicho panda.
Hata mimi😳Sitak urafiki na wakike yeyote yule
Eh ww hutak urafiki na wakike au wakiume?Hata mimi😳
Dah 🤣🤣Wewe king'asti endelea kula hela za wanaume wenzio, shida nini kwani?
Nakuuliza wewe usiyetaka urafiki😁Eh ww hutak urafiki na wakike au wakiume?