MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 993
- 2,045
- Thread starter
- #41
NAMPENDA yeye na yeye ananipenda mmUnampenda yeye au unapenda pesa anazokutumia.
NAMPENDA yeye na yeye ananipenda mmUnampenda yeye au unapenda pesa anazokutumia.
Mwanetu huyo ni Chakula chetu huku mjini Dasulamu tunamla km kitimoto au ngamia. Kwaa hio wewe furahia pesa za wanaume wenzio ila nimekusisitiza sana akija huko mkoani Oa usimletee mambo ya ajabu hizo 10 10 anazookoteza na kukutumia unga unga nunua hata mabati akija umuonyeshee zile 10 10 ulizokua unatuma nimekusanya hizi bati 100 tuanze kutafuta kiwanja tujenge hio manzi itakushukuru sana sio anakupa 10 10 zetu na wewe unaenda kuhonga utalaaniwa.Ndo shida
Hakuna aliekubishia,,, nitimie chap ya chips Yao Nina njaaNishaishi naye muda sana na angekuwa kama wewe kumbahewa ningekuwa nishamjua na btw akiwa na shida ananambia mapema kabisa namuandalia vyake, na shida yake inakuwa inaeleweka siyo kama nyie hata 10k ya chips au bando mnaomba mabwana zenu. Kubali kataa wanawake mnatofautiana. Kwa anachonipa kitandani hata asingekuwa ananipa huto tu hela ingetosha kumhonga hata figo
Sikatai ila mantic yangu ni kwamba je na wakwako akiliwa na wengine huko nje anakukumbukaga hata Kwa hicho kidogo?Mwanetu huyo ni Chakula chetu huku mjini Dasulamu tunamla km kitimoto au ngamia. Kwaa hio wewe furahia pesa za wanaume wenzio ila nimekusisitiza sana akija huko mkoani Oa usimletee mambo ya ajabu hizo 10 10 anazookoteza na kukutumia unga unga nunua hata mabati akija umuonyeshee zile 10 10 ulizokua unatuma nimekusanya hizi bati 100 tuanze kutafuta kiwanja tujenge hio manzi itakushukuru sana sio anakupa 10 10 zetu na wewe unaenda kuhonga utalaaniwa.
The Bittersweet truth from your minor league coaches.
Ndo hivo sasa kubali kuna huyu mchumba wangu na nyie makumbahewaHakuna aliekubishia,,, nitimie chap ya chips Yao Nina njaa
Sawa naona umesha blow identity yake kirahisi sana, Wacha tumsakeHAYA MTOTO KATOKA CHURCH KAPITA KWA WAKALA KANITUMIA HII HAPA LEO ASUBUHI HII, KANIPIGIA CM JANA KANAMBIA KUNA HELA KAIPATA KIDOGO ANAOMBA ANIPE NAMIMI KIDOGOView attachment 3589807
MsakeniSawa naona umesha blow identity yake kirahisi sana, Wacha tumsake
😂😂😂😂 Kwaiyo mimi ninavyonunuliwa beer naandaliwa kwenye Nini ?Hela ya mwanamke hailiwi kizembe hata kidogo. Una kitu na unaandaliwa kutoa vitu.
Yeah kwa mimi wa kwangu hata wanaompigia misele tu ananionyesha umeliona lile fala eti linataka kunivua chupi nimelipiga cha mbavu na pesa zake nimekula na sijalipa chochote, ndio hivyo huwa ila huyo wa kwako mwanetu wana wanapiga mashuti tena yupo mbali wewe endelea kuhesabu magoli hizo 10 10 ndio magoli yenyewe hayoSikatai ila mantic yangu ni kwamba je na wakwako akiliwa na wengine huko nje anakukumbukaga hata Kwa hicho kidogo?
Mwanetu fanya nilivyokuelekeza hizo 10 10 unga unga nunua mabati akija huyo manzi umuonyeshee kwamba zile 10 10 ulizokua unatuma na mimi sijui ulipokua unazitoa mimi nilikua nazipeleka hardware kufanya utaratibu wa msauzi sasa umefika pale shop tuna msauzi bati 100 pesa ndio ile ulikua unatuma sasa hizo zingine ulizobeba tutafute kiwanja tujenge bati zipo tayari, akishakujengea Oa usiangalie km hana kizaziHAYA MTOTO KATOKA CHURCH KAPITA KWA WAKALA KANITUMIA HII HAPA LEO ASUBUHI HII, KANIPIGIA CM JANA KANAMBIA KUNA HELA KAIPATA KIDOGO ANAOMBA ANIPE NAMIMI KIDOGOView attachment 3589807
Inasikitisha sana.Kamsemee kwa babaake
Story ya kutunga au sio 😂Inasikitisha sana.
Kilicho nifurahisha kwenye hii simulizi ya kutunga ni neno "dasalamu".
Kilichonisikitisha kwenye hii simulizi ya kutunga ni pale anaposema "huyu ni mwanamke ninayemuhitaji, maana kwake sina nnachokosa". Wakati kumbe anapewa elfu 10 tu.
Kongore kwake mtunzi.
Kama utani, kumbe ni bonge la ushaurrrrrrrrrrr¡¡Mwanetu huyo ni Chakula chetu huku mjini Dasulamu tunamla km kitimoto au ngamia. Kwaa hio wewe furahia pesa za wanaume wenzio ila nimekusisitiza sana akija huko mkoani Oa usimletee mambo ya ajabu hizo 10 10 anazookoteza na kukutumia unga unga nunua hata mabati akija umuonyeshee zile 10 10 ulizokua unatuma nimekusanya hizi bati 100 tuanze kutafuta kiwanja tujenge hio manzi itakushukuru sana sio anakupa 10 10 zetu na wewe unaenda kuhonga utalaaniwa.
The Bittersweet truth from your minor league coaches.
Hii story ukiingalia kwa jicho la kisuperhero utagundua sio ya kweli.Story ya kutunga au sio Hutaki kuamini jamaa anapewa Pesa
Wivu tuu 😂Hii story ukiingalia kwa jicho la kisuperhero utagundua sio ya kweli.