Huyu mwanamke kila akipata hela lazima anikumbuke hata kama ni hela ndogo, nahisi kumpenda sana

Huyu mwanamke kila akipata hela lazima anikumbuke hata kama ni hela ndogo, nahisi kumpenda sana

Anafanya investment huyo anajua ikifika ikifika zamu yako utatoa/unatoa zaidi. Anyway, chunguza hizo mishe zake anazopata hela kama ni halali basi chukua huyo mtoto. Mwanamke kutoa hela kumpa mwanaume huo ni upendo wa hali ya juu sana.
 
Nishaishi naye muda sana na angekuwa kama wewe kumbahewa ningekuwa nishamjua na btw akiwa na shida ananambia mapema kabisa namuandalia vyake, na shida yake inakuwa inaeleweka siyo kama nyie hata 10k ya chips au bando mnaomba mabwana zenu. Kubali kataa wanawake mnatofautiana. Kwa anachonipa kitandani hata asingekuwa ananipa huto tu hela ingetosha kumhonga hata figo
Hayo anayokupa kitandani huwa anajifunzia wapi?
 
Kuna watu ni watoaji tu… ama basi anatengeneza a team, awe mtu wako uwe mtu wake… Which sioni kama ni kitu kibaya.

Tusimjudge dada wa watu kwa ambacho hajafanya, tumjudge kwa alichofanya.

Why yall triggered?
Watu wana shida ya afya ya akili kila jambo wanahisi mtego! Asa hapo kuna ubaya gani ht mm nmeshangaa sana
 
Anafanya investment huyo anajua ikifika ikifika zamu yako utatoa/unatoa zaidi. Anyway, chunguza hizo mishe zake anazopata hela kama ni halali basi chukua huyo mtoto. Mwanamke kutoa hela kumpa mwanaume huo ni upendo wa hali ya juu sana.
Sawa
 
Back
Top Bottom