Huyu Wenje mbona anazidi kumuharibia Mbowe, kama amechangia 250M Mkutano Mkuu wa Taifa nani amechangia mikutano mikuu 64,000 ya misingi nchi nzima?

Bajeti ya mkutano mkuu ni zaidi ya milioni 700? Hawa ukiwapa nchi wataitafuna kuliko CCM.
 
Mafisadi muda wenu umewadia kutuliza wenge.
Mbowe kila akichangia anaandika ni mkopo ruzuku ikija analipwa, hajawahi ku hangia bure kwani hulipwa hadi riba
Madeni feki bandia huiba pesa za chama kisha kutakatisha pesa kwa kujidai alikopesha chama, Mbowe ni mwizi kama wezi wengine
 
Unatumia nguvu sana mkuu,

Mikutano 64,000 inaweza kugharimu kiasi gani Cha pesa?

Tumia akili kidogo.
 
Bajeti ya mkutano mkuu ni zaidi ya milioni 700? Hawa ukiwapa nchi wataitafuna kuliko CCM.
Ni mbinu ya mbowe kuiba pesa za chama kisha kutakatisha kupitia hivyo visingizio ndiyo maana mbowe hataki mtu mwingine awe mwenyekiti kwa sasa akihofia kuibua madudu yake ya ufisadi pesa za chadema
 
Unatumia nguvu sana mkuu,

Mikutano 64,000 inaweza kugharimu kiasi gani Cha pesa?

Tumia akili kidogo.
Chawa wa mbowe awali hawakuzoea haya ya sasa walizoea mbowe anapita bila kupingwa, safari hii wamepagawa sana
 
Madeni feki bandia huiba pesa za chama kisha kutakatisha pesa kwa kujidai alikopesha chama, Mbowe ni mwizi kama wezi wengine
Kambo baya zaidi, akipewa pesa na wafadhili akileta kqenye chama anajifanya amewapa mkopo.
Huyu ni dalali zaidi ya Wenje.
Sasa safu ya kifisadi imejipanga.
1. Mbowe
2. Makamu dalali Wenje
 
Mtasubiri sana meli huko Dodoma!
Mbowe ataiba kura atafanya uchakachuaji atapora ushindi wa Lisu na kuwa mwenyekiti haramu lakini atambue kuwa chadema inaenda kuwa kama NCCR TLP na CUF ya Lipumba, vinginevyo wampigie magoti lisu wamuombe msamaha awe mpole
 
Chadema inavuja aisee
 
Kambo baya zaidi, akipewa pesa na wafadhili akileta kqenye chama anajifanya amewapa mkopo.
Huyu ni dalali zaidi ya Wenje.
Sasa safu ya kifisadi imejipanga.
1. Mbowe
2. Makamu dalali Wenje
Hahaha hao wawili ni kikundi cha kigaidi ni mchwa ni watu waroho wachoyo wabinafsi na hata wakipora ushindi wa Lisu wakaingia kwenye Uongozi watagombana wenyewe kwa wenyewe kwani Mbowe ni mchoyo na wenje ni mrafi njaa Dalali, asipopewa pesa na mbowe watagombana au atafanya udalali mali za chama
 
Ccm wanahusila hapa niliangalia ukaribu wa nchimbi na lisu kuna jambo
 
Mbowe anautaka uenyekiti kwa gharama yeyote yupo tayari kuuza hata figo yake ili mradi awe mwenyekiti na lengo kuu ni kuficha ufisadi madudu yote aliyofanya ikiwemo Rushwa za ngono upendeleo viti maalumu, na mambo mengi ya hovyo, Mbowe anaishi kwa hofu kubwa sana, hakuzoea hii pressure kama ya sasa alikuwa akipita bila kupingwa chaguzi zote
 
Matokeo ya January yataonesha Either CDM kizidi kuwa chama kikuu cha Upinzani ama kigeuke kuwa NCCR-Mageuzi!
Endapo Mbowe atampora ushindi Lisu kwa njia haramu lazima chadema itadhoofika sana na kuwa kama vyama Dhoofu vya akina cheyo na wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…