haya ndiyo majibu y mtu mwenye akili sio wale akina johnthebaptist
Ushachizika, lissu anakutakia xmas njema, future ya chadema iko vyema chini ya lissuJibu hoja, that does not make sense at all kutukana. Can Lisu attempt to violate that amri?
Mkuu utawehuka, hili jambo naona halikupi usingizi. Nahisi kuna ulaji fulani ulikuwa unaupata kupitia Mbowe, sio bure kwa kupagawa huku.IT WILL NEVER HAPPEN IN MY LIFE...... Tindo na wewe uko kama hujaenda shule kweli? Ukienda X, loh...kila mtu ni Lisu na Mbowe...vurugu tupu....... ngoja na hapa niwavuruge
burudika na muziki huuUshachizika, lissu anakutakia xmas njema, future ya chadema iko vyema chini ya lissu
Albert Einstein alikataliwa kujiunga na chuo kikuu kuwa hana uwezo....but he turned to be the most inteligent person ever on earth!
Shukran
Umejiunga leo kwa ajili ya kutetea lopolopo au ndiye Lissu mwenyewe.Jamaa unateseka sana Mbowe hawezi kabisa kumshinda Lissu kama umepewa hii tenda rudisha pesa ya watu,
Mbowe hata kama angeachwa na Lemma au Heche bado angepigwa tu
Kwahiyo Yeriko Nyerere hana uwezo? πΌAlbert Einstein alikataliwa kujiunga na chuo kikuu kuwa hana uwezo....but he turned to be the most inteligent person ever on earth!
ACCA&CPA Mwaitenda next week ataelezea manunuzi ya Jengo la Makao Makuu ya Chadema mikocheniUmejiunga leo kwa ajili ya kutetea lopolopo au ndiye Lissu mwenyewe.
Yeriko Nyerere na Ntobi ndio Vinara wa Matusi π..kwa muda mrefu tumejenga utamaduni wa kucharurana badala ya kujadiliana kwa hoja zenye tafakuri.
..utamaduni huo mbaya tumeurithi kutoka kwa Ccm na mfumo wa chama kimoja.
..uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema ungekuwa mzuri kama kambi za wagombea zingekuwa zinashindana kwa hoja, na sio kushambuliana binafsi.
bila uwezo angaliandika vitabu? vyako viko wapi uliyemaliza UniversityKwahiyo Yeriko Nyerere hana uwezo? πΌ
Jiwe alikuwa hana adabu kwa Katiba..Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
ππππππ€£
Matusi ruksa lakini angalia msifungiweπ³π³π³π³
View: https://www.youtube.com/watch?v=n6AOsHKulOE
Utawala wa Sheria Tuanzie Kwa Ulimbo au Kwa Mwangosi. Au Twende ng'ambo Tuanzie Kwa Edward Snowden au Durov.Jiwe alikuwa hana adabu kwa Katiba..
Wewe ni mfuasi wa jiwe wala haujui lolote kuhuau utawala wa sheria.
Mama naye tunajua hana yofauti na jiwe
Ungeanza kwa kusema Mh. Rais Samia naomba ukeuke katiba iliyokuingiza madarakani ili uzuie mikutano ya vyama vya siasa......Maana mnamuona ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
ππππππ€£
Matusi ruksa lakini angalia msifungiweπ³π³π³π³
View: https://www.youtube.com/watch?v=n6AOsHKulOE
Ni aibu kubwa kuuishi uovu kwa kujifananisha na waovu wengineUtawala wa Sheria Tuanzie Kwa Ulimbo au Kwa Mwangosi. Au Twende ng'ambo Tuanzie Kwa Edward Snowden au Durov.
Mtu mzima kukariri au kukaririshwa vitu ni aibu
Kumbe Yeriko na mavitabu yake ya kutafsiri kidato cha 4 alitaga egg ππππππ