haya ndiyo majibu y mtu mwenye akili sio wale akina johnthebaptist
..kwa muda mrefu tumejenga utamaduni wa kucharurana badala ya kujadiliana kwa hoja zenye tafakuri.
..utamaduni huo mbaya tumeurithi kutoka kwa Ccm na mfumo wa chama kimoja.
..uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema ungekuwa mzuri kama kambi za wagombea zingekuwa zinashindana kwa hoja, na sio kushambuliana binafsi.