Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 891
- 1,569
Uko vzrUSIMDAMGANYE, NADHAN MNGEMSHAURI MAMA KUA UFALME WAKE UMEPIMWA, HIVO ASHAURIWE KUONGOZA KWA KUFUATA MISINGI YA HAKI SHERIA NA KATIBA.
Mama hakuwahi kukutafuta Urais, na katika safari zake za Maisha hakuwah kutumia hata sumuni kupata madarakan, Leo ni Rais, je haitoshi kwake kujua tu ni MUNGU NDIO AMEMPA URAIS?.
NA KAMA NI MUNGU, BASI MUHIMIZENI KUFANYA SAWA NA MAELEKEZO YA MAANDIKO MATAKATIFU.
Lissu amefanya tuone tatizo la afya ya akili na ukilaza yalivyo makubwa sana nchini hata kwa watu usiowafikiroa.SI MNASEMA SO CALLED "MARIDHIANO"/PROCESS TO MARIDHIANO AS PUT BY NGURUMO HAYANA FAIDA, SASA
Maana mnamuona LISU ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta
mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi
kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
ππππππ€£
Matusi ruksa lakini angalia msifungiweπ³π³π³π³
View: https://www.youtube.com/watch?v=n6AOsHKulOE
Leo ndio nimeamini kuwa wewe ni "ke" uliyejivika koti la "me".IT WILL NEVER HAPPEN IN MY LIFE...... Tindo na wewe uko kama hujaenda shule kweli? Ukienda X, loh...kila mtu ni Lisu na Mbowe...vurugu tupu....... ngoja na hapa niwavuruge
Too little too lateπ’SI MNASEMA SO CALLED "MARIDHIANO"/PROCESS TO MARIDHIANO AS PUT BY NGURUMO HAYANA FAIDA, SASA