Hypothetical Scenario: Rais Samia piga marufuku mikutano ya hadhara ya kisiasa Lisu aje akulazimishe kuifungua au aifanye kwa kukaidi

Hypothetical Scenario: Rais Samia piga marufuku mikutano ya hadhara ya kisiasa Lisu aje akulazimishe kuifungua au aifanye kwa kukaidi

USIMDAMGANYE, NADHAN MNGEMSHAURI MAMA KUA UFALME WAKE UMEPIMWA, HIVO ASHAURIWE KUONGOZA KWA KUFUATA MISINGI YA HAKI SHERIA NA KATIBA.

Mama hakuwahi kukutafuta Urais, na katika safari zake za Maisha hakuwah kutumia hata sumuni kupata madarakan, Leo ni Rais, je haitoshi kwake kujua tu ni MUNGU NDIO AMEMPA URAIS?.

NA KAMA NI MUNGU, BASI MUHIMIZENI KUFANYA SAWA NA MAELEKEZO YA MAANDIKO MATAKATIFU.
Uko vzr
 
SI MNASEMA SO CALLED "MARIDHIANO"/PROCESS TO MARIDHIANO AS PUT BY NGURUMO HAYANA FAIDA, SASA

Maana mnamuona LISU ni mwamba usiopenyeka.

Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta

mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi

kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
😊😄😁😂😃🤣

Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe😳😳😳😳

View: https://www.youtube.com/watch?v=n6AOsHKulOE

Lissu amefanya tuone tatizo la afya ya akili na ukilaza yalivyo makubwa sana nchini hata kwa watu usiowafikiroa.

Tafadhali nenda kapate ushauri wa wataalamu wa afya ya akili.
 
IT WILL NEVER HAPPEN IN MY LIFE...... Tindo na wewe uko kama hujaenda shule kweli? Ukienda X, loh...kila mtu ni Lisu na Mbowe...vurugu tupu....... ngoja na hapa niwavuruge
Leo ndio nimeamini kuwa wewe ni "ke" uliyejivika koti la "me".
Mipasho ya Khadija Kopa ndio unaandika humu.
 
SI MNASEMA SO CALLED "MARIDHIANO"/PROCESS TO MARIDHIANO AS PUT BY NGURUMO HAYANA FAIDA, SASA

Maana mnamuona LISU ni mwamba usiopenyeka.

Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta

mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye. Awaingize barabarani chadema/ wananchi

kupinga amri hiyo BATIRI ( maana itakuwa amri batiri ya udikiteita kusema kweli)
😊😄😁😂😃🤣

Matusi ruksa lakini angalia msifungiwe😳😳😳😳

View: https://www.youtube.com/watch?v=n6AOsHKulOE

Too little too late😢

Mzarau mwiba mguu huota tende...Pengine this was destined, let it be, in Jesus name!
 
Retired: Namshauri TUNDU Lissu asirejee nchini ,hii ni kwa USALAMA wake.
 
Back
Top Bottom