I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.

tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!

Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,

Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!

1756909039513.png
 
Back
Top Bottom