I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

Zile enzi za kukamata na kusamehe zitabaki historia.

Tunaingia phase mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Lissu ndie atakuwa mfano wa haya mabadiliko mapya.

View attachment 3463981
Screenshot_20250719-001826.jpg
Screenshot_20250823-072142.jpg

Kikubwa usije kuukimbia uzi wako, eagerly waiting.
Screenshot_20250903-174503.jpg

Hizi IDs👆🏾zilizoanzishwa maalum kumpambania bi Urojo na wanamtandao zimekuwa nyingi sana.
 
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.

tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!

Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,

Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!

View attachment 3463981
laana ya kumnyonga lissu haitaiacha hii nchi salama!
 
Hanyongwi mtu hapa...!!

Tunda Lissu hatanyongwa, hawezi kufa kwa kifo cha namna hiyo katika Jina la Yesu Kristo...!

Isaya 44:24-26 SRUV
BWANA, mkombozi wake (Tundu Lissu), yeye aliyemuumba tumboni, asema hivi; Mimi ni BWANA, nifanyaye vitu vyote; nizitandaye mbingu peke yangu; niienezaye nchi; ni nani aliye pamoja nami?
Nizitanguaye ishara za waongo, na kuwatia waganga wazimu; niwarudishaye nyuma wenye hekima, na kuyageuza maarifa yao kuwa ujinga; nilithibitishaye neno la mtumishi wangu, na kuyafikiliza mashauri ya wajumbe wangu; niuambiaye Yerusalemu, Utakaliwa na watu, nayo miji ya Yuda, Itajengwa, nami nitapainua mahali pake palipobomoka;​

Kila ishara za uongo, kichawi na kiganga na uongo wao, Bwana amezitangua (batilisha). Ameshageuza hekima na maarifa yao hayo duni kuwa ni ujinga na upumbavu...

Hawa watesi wetu na wa Tundu Lissu, wao ndo wajiandae kwa kunyongwa na wengine kujinyonga wenyewe mpaka wafe...

Yule wa mwaka 2017 aliyejaribu kumuua kwa risasi 16 wenzake walimnyonga kiaina. Na kama mkuu wa nchi, akafa kifo cha aibu na fedheha tupu, mkuu wa nchi akafia uchochoroni, zahanati ya Mzena, Vingunguti kama kibaka aliyepigwa barabarani kwa wizi wa kuku...!!

Nasema tena na tena, katika Jina la Yesu Kristo, Tundu Lissu hawezi kunyongwa🙋🙋🙋🙋

Kila wanachopanga na kuwaza kwa wanayodhani ni hekima yao, Bwana ameshakigeuza kuwa ni ujinga uliokwisha kushindwa!!!

​
 
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.

tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!

Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,

Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!

View attachment 3463981
Acha tabia za K
 
Hata akinyongwa haitaua idea ya mageuzi.
 
Labda mbinu zenu mnazotumia za kuwawinda watu na kuwapoteza! Chaula, Mdude na wengine wengi mmemwaga damu zao
 
Lissu hawezi kunyongwa wakumunyonga bado hajazaliwa ila anaweza kufungwa kutengeneza mazingira ya Kukosa sifa za kugombea then Rais akiapishwa amtoe kwa msamaha
 
tukifika huko utafanya nini zaidi ya kulalamika humu kwa wiki 1 ?
Nafasi ya maridhiano haitakuwepo tena ,yaani kwa lugha nyepesi nikwamba watakuwa tayari wameamua kulichoma moto Taifa .

Mkuu usithubutu kuyachukulia poa hata yanayoendelea mitandaoni ,kiuhalisia yanawanyima usingizi kuliko kawaida.

Tuanzie hapa ,kunakauli kadhaa zimesikika kutokea kwa watawala .wacha nikupatie chache :-

1. Mkituchagua tutaunda kamati ya maridhiano ndani ya siku 100 za mwanzo (binafsi wewe inakupa tafasiri gani?) jua wameujua ukweli gharama ya mpasuko .

2. Mkituchagua tutachukua viongozi wenye akili tutawaleta CCM, imekupa tafasiri gani? (Wanajua kuwa wao siyo sehemu ya wanaopendwa na Umma)

Lakini jiulize ,hivi unadhani wao wanapenda kuhama na wasikilizaji wao kila wanapenda kwenye mikutano?

Anyway...ile ajali ya juzi iliyosababisha wanachama wa CCM kuvunjika viuno mikono na wengine kupoteza maisha ,unadhani Kasi ya watakaojitokeza kusafiri nao itabakia kama ilivyokuwa?

Bro CCM siyo majasiri kama tunavyowachukulia ,tukiendelea kukaza hivi hivi soon watalegeza na dalili zimeshaonyesha tena kwa 100% ni swala la muda tu .

Ngoja nichaji cm yangu nisubirie muda wa Polepole aje kumwaga mboga 🤣
 
Back
Top Bottom