I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.

tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!

Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,

Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!

View attachment 3463981
He has nothing to lose ...
 
tukifika huko utafanya nini zaidi ya kulalamika humu kwa wiki 1 ?
Kunasemekana kuwa Magu aliuawa na wabaya wake kisa siasa zake...take my word, watu walikuwa wanalalamika kama unavyosema. Hivyo na huyo pia atatendwa tukiwa tunalalamika hivi unavyosema.

Hivi unadhani hakuna pesa ya kuwalipa hao mafia watu wakidhamiria?
 
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.

tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!

Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,

Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!

View attachment 3463981
Ndiyo Rostam anavyowadanganya?
Rostam ni muajemi lakini kwa hela za ufisadi anakufanyeni mnachukia watanzania wenzenu masikini kama nyie.
Kesho Rostam akitoroka nchi mtabaki na aibu.
 
Abduli hawawezi baki salama.

Kisasi kitalipwa kwa gharama yoyoyte.
 
Engelikuwa zama za JIWE ningeweza kukukubalia, Ila kwa sasa hicho unachozungumza ni emotions tu
 
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.

tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!

Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,

Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!

View attachment 3463981
Kakutuma nani ulete porojo?
 
Mungu ana jambo na Lissu. Hakupona lile shambulio kwa bahati mbaya.
 
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.

tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!

Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,

Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!

View attachment 3463981
Samia ameagiza kuwa Lissu anyongwe kabla hata hajaapishwq mweiz November.
 
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.

tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!

Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,

Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!

View attachment 3463981
It will never happen

Kwanza SASA hivi atakua anajuta tu kupoteza muda wake kWa chakandumuz ambao tayari wameshamsahau Kabisa wako bize na polepole
 
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.

tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!

Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,

Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!

View attachment 3463981
Umesema amepewa kosa la uhaini, kumbe hakutenda uhaini ila amegawiwa, amezawadia uhaini.
 
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.

tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!

Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,

Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!

View attachment 3463981
Kama risasi ziligoma na kitanzi kitagoma pia!
 
Hizi ni propaganda zako za kipuuzi, wewe una maslahi gani kwenye hii kesi ya mchongo? Hebu jitahidi kuficha upumbavu wako.
 
Mjuba unashadidia lissu kunyongwa kwani hiyo ni kesi ya uhaini!!? Ile ni kesi ya kisiasa, moto wa kukinukisha kuelekea uchaguzi mkuu ulikuwa mkali sana mpaka wapinzani wa chadema wakaamua wamuweke ndani ili uchaguzi wao upite bila kunukishwa. Wasimnyonge tafadhali, wakifanya hivyo watahatarisha amani ya nchi kwani utaibuka upinzani wa ajabu kulipiza kisasi. Hiyo kesi iyeyuke tu hakuna sababu ya kunyonga mpinzani huyo
 
Back
Top Bottom