LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
Unaandika as if unaujua uhaini. Uhaini ni kula njama za kumpindua rais na serikali yake ambayo ni jamhuri mjuba. Uhaini unapangwa na kundi lenye watu wengi waliojipanga kila idara. Hufanya uasi dhidi ya serikali inayotawala na wanaweza kuwa wanajeshi au raia wenye wanawamgambo/wapiganaji wenye silaha kukabiliana na majeshi ya serikali. Sasa hapa Lissu kafanya au kajaribu kufanya uhaini gani akiwa peke yake au akiwa na kikundi fulani cha wapiganaji? muachage kuchochea kesi za kisiasa wakati mambo yako wazi Lissu na mwanasia shupavu