I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

"Walishindwa kumuua kwa risasi sio rahisi kwa kitanzi"

Mbabani
Wed 3 Sep, 2025
18:05 EAT
 
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.

tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!

Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,

Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!

View attachment 3463981
Mlishindwa kunyonga kwa risasi itakua kamba? Mnyongeni haraka kabla umua Oct ili mkatiki kwa amani.
 
Achana na kunyongwa, hata kusingizia tu kama hivi, karma itaenda kuwapiga miti wote wanaohusika. Wala sio muda
 
tukifika huko utafanya nini zaidi ya kulalamika humu kwa wiki 1 ?
Mara ya mwisho ukiondoa zama za Nyerere na Mwinyi nani kanyongwa? Haujatupa mantiki yako kwa nini unadhani atanyongwa, umesema ni zama mpya tu, lakini haujatufafanulia kiundani kidogo kuhusu hiyo zama mkuu.

Ni kama wengine wanavyoona anachofanya jamaa ni speculation kuelekea zama mpya za uhuru zaidi regardlesss kama CCM wataendelea kuwa madarakani miaka mia mbele. Zote ni speculation, lakini trend inavyoenda kwa kuangalia historia sidhani kama atanyongwa, nadhani atatoka kabla ya uchaguzi kuanza.
 
Hakuna mtu anaweza mfunga Lisu kwa Sheria leave alone kunyongwa, hakuna mtu wa kumnyonga Lisu, Kuna Nguvu juu ya ubaya, ni swala la Mda tu.
 
Bado sana kufikia hatua hiyo. Njia rahisi ni kupotezwa kama alivyomiminiwa Ak 47 pale dom lakini Mungu alikuwa Upande wake. Kumnyonga ni wrong move kimahesabu politics haziendeshwi hivyo mkuu.
 
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.

tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!

Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,

Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!

View attachment 3463981
Mahakama pia inatakiwa itende haki. Alishasema haombi huruma ya mahakama ila HAKI.
 
mwisho ilikua kwenye utawala wa awamu ya pili
ni kama mbadala wake ni kifungo cha maisha; hiyo kunyongwa tunaongea tu, haitatokea kwa kuwa wapo walio hukumiwa kunyongwa na wana miaka mingi bado wako gerezani.
 
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.

tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!

Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,

Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!

View attachment 3463981
Hujui unachoongea, kifupi unalopoka tu.
 
sawa KATUGA wakili hairisho sasa hivi Kuna majaji au kutakuwa na jaji uchwara
 
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.

tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!

Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,

Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!

View attachment 3463981
Unafikiri watu watakubali?
 
Kunyongwa haiwezekani ila mpaka sasa huwezi kuhesabu kama Chadema ipo katika huu uwanja wa siasa kikamilifu.. Labda wasubiri uchaguzi uishe ila sasa tusahau kidogo kuhusu hiyo kesi maana kila kitu kipo wazi kulingana na kauli aliotoa jamaa kuhamasisha hiyo issue. So kuachiwa kwa sasa ni jambo ambalo si rahisi
 
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.

tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!

Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,

Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!

View attachment 3463981
Da aliyekuzaa kapata hasara kubwa sana
 
Watamnyonga kwa kesi gani kwani unazani na wao hawana akili.hizi ni mbinu tu zakupunguza joto la kisiasa
 
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.

tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!

Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,

Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!

View attachment 3463981
Na wala hatakuaa wa kwanza kufa pasipo hatia.
Wapo wengi tofauti ni moja tu yeye atapatikana na hatia feki wengine wanauliwa tu wakiwa kwenye magari, majumbani n.k
 
Natamani wachangiaji waache kujadili wishes zao na za jamii, badala yake wazingatie alichosema mtoa uzi, hasa para ya mwisho...kwa nini kasema " Ana kosa la uhaini,..." bila kuacha mashaka?
Huenda kuna kitu hakipo sawa. Just thinking loud
 
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.

tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!

Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,

Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!

View attachment 3463981
ngoja niku block shetani
 
Hanyongwi mtu! Ikitokea Damu yao itatakwa vichwani mwao wao na familia zao!
 
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.

tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!

Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,

Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!

View attachment 3463981
Wafanye hivyo chap chap!
 
Back
Top Bottom