I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.

tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!

Tunaingia stage mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!

Na kwa bahati mbaya, Tundu Lissu anaonekana kuwa ndiye atakayekuwa mfano wa mwanzo wa zama hizi mpya,

Ana kosa la uhaini atapewa adhabu husika , Hakuna misamaha wala maridhiano !!

View attachment 3463981
Pole sana
 
Ngoja tuone,Kaguta na Kagame pamoja na ununda wao wameshindwa kuwanyonga ama kuwafunga wapinzani wao wakuu licha ya kuwashitaki kwa makosa ya uhaini mara kadhaa.
 
Kwamba mzanzibar amnyonge mtanganyika katika ardhi ya mtanganyinkaa
Na uko busy kabsa kutuamnisha
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Watamhukumu kunyongwa.then watabuy time mpaka huyu mama yao aondoke madarakani 2030,then akija mwingine atajifanya kumtoa kwa msamaha wa Rais.
 
Back
Top Bottom