Ndicho kitachotokea dakika za jioni kabisa karibia na uchaguzi.
Kwa kesi aliyopewa ni uhaini, adhabu yake ni kunyongwa.
Kama kawaida, kutakuwa na kelele za wiki 1 baada ya hapo Kimyaaaa !!
View attachment 3463981
tukifika huko utafanya nini zaidi ya kulalamika humu kwa wiki 1 ?Hatutafika huko mkuu .
Unataka tulalamikie wapi ?.tukifika huko utafanya nini zaidi ya kulalamika humu kwa wiki 1 ?
Swali kuu hapa ni: je, wakimnyonga mtawafanya nini?Hanyongwi mtu,,,hizi ni drama za kisiasa.
Utaratibu wa watz umeusahau ?Swali kuu hapa ni: je, wakimnyonga mtawafanya nini?
Watanzania hawana utaratibu wowote.Utaratibu wa watz umeusahau ?
Zile enzi za kukamata na kusamehe zitabaki historia.
Tunaingia phase mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!
Lissu ndie atakuwa mfano wa haya mabadiliko mapya.
View attachment 3463981
Uzuri na wenyewe baada ya mda watanyongwa kwa sheria hiyo hiyo.Zile enzi za kukamata na kusamehe zitabaki historia.
Tunaingia phase mpya kabisa, Ukikamatwa utapewa adhabu kulingana na kosa utalopewa, Hakuna misamaha wala maridhiano !!
Lissu ndie atakuwa mfano wa haya mabadiliko mapya.
View attachment 3463981
Na sisi tutawanyonga....UBAYA UBWELASwali kuu hapa ni: je, wakimnyonga mtawafanya nini?