Kenya 2022 IEBC: William Ruto ameshinda Urais kwa 50.4% dhidi ya 48.8% za Raila Odinga

Kenya 2022 General Election
Uchaguzi ni mchakato kuanzia tume, uteuzi wa wagombea, kampeni, mawakala, upigaji kura, kuhesabu kura, matokeo na utaratibu wa kupinga matokeo...
Kama yote hayo yapo Tanzania na yanafanyika kwa haki na uwazi basi hakuna cha kujifunza!

Wewe unaonaje kwenye hizo hatua na kulinganisha na wenzetu.?
 
Unakalia bolo wewe ,, mahindi yanatoka mengi kusababisha hata ndani kukosekana na kuanza uzwa ghali kwa hio wewe ulikuwa unafurahia? Em niambia labda ni bibi yako mahindi yake yalioza kwa kukosa wanunuzi lini acha upimbi wewe utatoka huku kwanza
Unaelimu gani we binti?

Je, umewahi kujiuliza kwamba hata wakulima wanahitaji kuwa na maendeleo kutokana na jasho lao?

Unataka bei iwe chini ili wao maisha yao yawe ya chini miaka yote?

Huna adabu binti wewe, na mumeo anakazi kweli kweli
 
Nawataka hapa walio sema Ruto hawezi KUWA rais
 
Tumeni basi downloaded video clip za Chebukati akimtangaza ruto. Waandishi wa habari wa jf mnaniangusha jamani

Mwenyekiti wa IEBC bw. Wafula Chebukati akimkabidhi William S Ruto mgombea wa kupitia chama cha UDA, cheti cha kuibuka kama mshindi katika uchaguzi ngazi ya urais

Bw. William S. Ruto ameshinda kwa kupata asilimia 50.49% yaani amefaniikiwa kupata zaidi ya asilimia 50 ya kura zote (50% + kura 1) . Pia amefanikiwa kigezo kingine cha kupata zaidi ya asilimia 25 za kura katika kaunti/ county/ mikoa zaidi ya 24. William Ruto ameweza kupata kura zaidi ya asilimia 25 katika kaunti / mikoa 39. Kenya ina jumla ya kaunti / mikoa 47.

Mgombea akitimiza Vigezo hivyo viwili ndivyo hutumika kutangazwa kama mshindi wa kiti cha urais nchini Kenya.

SOMA HAPA :

14 August 2022

Ili kumtangaza mgombea wa urais kuwa mshindi lazima;
  • Apate asilimia 50+1 ya kura zote zilizopigwa
  • Apate asilimia 25 ya kura katika Zaidi ya nusu ya kaunti zote 47 nchini
William Ruto na Raila Odinga wote wamepata zaidi ya asilimia 25 ya kura ktk zaidi ya nusu ya kaunti zote 47 nchini Kenya source : Elections 2022

Source : Independent Electoral and Boundaries Commission
 
Mzee alistahili kutangazwa mshindi. Ikiwa kweli hakuna uchakachuaji kwenye hesab za mwisho,ni vip wale wajumbe wanne wa tume wajihami km wasihusishwe na matokeo hayo?

Wajaruo waanzishe jimbo lao na wajitenge kutoka Jamhur ya Kenya,hawana lao ikulu ya Nairobi
 
Unaelimu gani we binti?

Je, umewahi kujiuliza kwamba hata wakulima wanahitaji kuwa na maendeleo kutokana na jasho lao?

Unataka bei iwe chini ili wao maisha yao yawe ya chini miaka yote?

Huna adabu binti wewe, na mumeo anakazi kweli kweli
Nimesomea kukuchomeka vijiti kumtako
 
Akiungana na Mike Sonko, Gangster Team inakuwa imetimia 100%. hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…