IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Tumeamua kupambana na Serikali haramu (ndiyo ni haramu hawakushinda uchaguzi) basi tutumie hata njia ambazo hazitasababisha umwagaji damu lakini zitakuwa na negative impact kwenye hii Serikali ya kidhalimu.
 
Alisikika raia mmoja wa online republic akitutusa vidole kutokea ughaibuni

nendeni barabarani …. Mkaonje virungu vipya

Virungu tu? Walisikika makamanda waliodhamiria kweli kweli wakiwa hapa nyumbani wakisema ---- "Kudai haki hakuwezi kuwa bila gharama"

"Tuko tayari kuilipa gharama hiyo" -- wakasiliba.

Makamanda hao walikuwapo JKNIA siku Lissu alipokuja na jiwe likiwa jiwe kweri kweri.

"Waambieni wageuze stadiums zote kuwa magereza. Kisutu tutakuwapo bila kukosa." --- wamesisitiza makamanda hao.
 
Mitandao ya kijamii imefurika matusi na kejeli baada ya IGP kutoa press akidai asiyeamini kwamba Mbowe ni Gaidi aende akamuulize. Amekwenda mbali zaid na kudai atakayethubutu kuandamana atapigwa tu....
Wanatoa matusi wakiwa kwenye I'd fake
 
h
What kind of IGP we have? Is it a Tanzanian or illegal migrant from Rwanda? Tunaelewa mashtaka ya Mbowe Ni ya kipumbavu na hayana msingi wowote,free Freeman Mbowe .
uo ni ushabiki tu umeambiwa nenda kamuulize atakuambia yeye siyo malaika asitende uovu
 
Hatuwezi kuandamana kwa kutolewa muhanga ,ugaidi afanye yeye kwa maslhi yake na genge lake ,halafu watoto wetu watumike Kama chambo,shwain kabisa!!
 
La
Ameshasema ambaye maisha yamemshinda aende kuandamana pale mahakamani atapigwa mpaka achakae
Mtoto wa Mbowe ndo atangulie,Mambo ya kudanganyana nguvu ya umma,wakati wanufaikaji namba moja Kama mke,watoto,hawapo,hiyo siyo nguvu ya umma.
 
Katibu Mkuu wa chadema Mnyika anapaswa achunge sana kauli zake za kuhamasisha maandamano yenye lengo la kuvunja amani ya nchi.

Asije akalilaumu Jeshi la Polisi endapo atachukuliwa hatua za kisheria...
Kwani Mnyika yuko chama chenu? Ushauri wenu bakini nao tafadhali.
 
Reactions: BAK
Your browser is not able to display this video.
 
Kwani Lissu alipokuja kupitia JKNIA siku ile Sirro chini ya rire jiwe kweri kweri alisema je?

Labda tuanzie hapo kwanza.
 
Reactions: BAK
Press conference yote ya Siro imejaa NIA ya mateso kwa watanzania wenzetu wapinzani bila sababu.
Kwa muktadha huo, naomba awekewe FATWA.
FATWA NAAMA YAKE INAJULIKANA, KAMA HUJUI GOOGLE
 
La

Mtoto wa Mbowe ndo atangulie,Mambo ya kudanganyana nguvu ya umma,wakati wanufaikaji namba moja Kama mke,watoto,hawapo,hiyo siyo nguvu ya umma.

Usituchagulie wa kutangulia. Kwani wewe nani?


Subirini tuchanjwe kwanza. Tutaelewana tu mamburula nyie.

Mnadhani hii nchi ni yenu peke yenu. Tambueni zama mpya zi karibu.
 
Tunasubiri matokeo

Ingi mtaani uone

Kaa pembeni binti. Endelea kuunga mboga kwa matumizi jioni.

Wanaume tuliotinga kumpokea Lissu JKNIA tutakuwapo kisutu. Shaka ondoa dada.

Ukipenda, ukamwambie sirro waliokuwa wageni wake JKNIA watakuwapo kisutu.

Kama mmepanga kuiharibu nchi hatuna cha zaidi ya kuyaridhia matakwa yenu.
 
Stop bitching and degrade women….
Wewe ingia Mtaani tukupongeze Kwa ushujaa
 
Ingekuwa vema wakaweka tu wazi kwamba CHADEMA na vyama vingine vya upinzani ndiyo hawaruhusiwi kukusanyika popote, Maana siku wakati konganmano la katiba mpya lililoandaliwa na CHADEMA lilipozuiwa kule Mwanza kwa madai ya kupambana na Corona, Siku hiyohiyo kulikuwa na mechi ya mpira kati ya Pamba na Coastal Union na watu walijazana uwanjani mpaka basi!

Pia siku iliyofuata wameona viongozi kadha wa CCM na serikali kama Mwingulu Nchemba na PM Majaliwa wakihutubia mikusanyiko ya hadhara!

Kwa hiyo hii inaonyesha dhahiri kuwa mapambano dhidi ya Corona sasa yanatumika kama kivuli cha kuminya demokrasia nchini, kwa si vizuri kuendelea kuudanganya umma kukataza mikusanyiko huku walengwa wanaeleweka!
 
acheni ugaidi, hii nchi sio ya kwenu peke yenu. kama amefadhili ugaidi mnataka asiguswe? na mnashinikiza aachiwe hamuoni kama mnaingilia mahakama, kesi si ipo mahakamani? DPP si ametoa kibali cha kuanza kusikilizwa (si mmeona ile charge ina consent n a certificate), manake kesi inaanza kusikilizwa haraka, au mnaogopa ushahidi utakaoletwa? tulieni dawa iwaingie.
 



Siro kitu kimoja hakijui ni kwamba Watanzania wengi wanamjua Mbowe amekulia Dar watu wanamfahamu kwa miaka zaidi ya 30 leo hii huwezi kubadilisha watu mawazo ni ngumu sana. Mbowe angekuwa mtu mwingine angeweza lakini sio Mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…