IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Aandamane mnyika na Lema sisi tunamajukumu ya kufanya. kamwe hatukubali kuchuuzwa!
Kwani kuna aliyekulazimisha uende?
Mbona unaanza kuweweseka kama Sirro mwenye uso wa chuma uso aibu. Anaelazimisha kutoa hukumu kabla ya kesi waliyobumba kusikilizwa.
Tuliwaona Polisi kwa Kabendera, Mdude AIBU nyingine kubwa yaja kwao.
Mungu wa haki bado yupo hai, safari hii akina Sirro pamoja na waliyowatuma, WATALIPA tu tena kwa gharama kubwa.
 
Keyboard warriors on freak.

It is not uncommon for you to be devastated whenever weren't shaken.


Take it easy buddy, you are faced with a different generation this time.

Stand by.
 
We wachuuze tu wenzio wakati wewe utakuwepo mahakamani kwa kutmia mitandao wenzio wakapondwe pondwe wavunjwe miguu keshoyake uje tena kuwapa pole na kulaumu polisi sana
Pole sana,
Wa aina yako walikuwapo hata ndani ya familia ya Nelson Mandela, WAKIDHANI watasifiwa na kupendwa na makaburu SA.
 
Sirro ni binadamu. Anaweza kuongopa. Picha hii ni kielelezo cha UONGO wa Sirro. Alisema ni picha ya CCTV. Watu wote wenye akili timamu wanajua kuwa huu ni uhuni wa kipolisi.

Je, IGP anayetunga uongo wa kiwango hiki anashindwaje kumbambikia Mbowe kesi ya ugaidi? Sirro anaaminika?

IMG_20210802_212409.jpg
 
Sirro ufahamu kuwa sisi kama watu wenye akili zetu:

1. Tunajua kuwa mwenyekiti Mbowe mmembambikizia kesi
2. Tuko kwenye nafasi za kujua mnambambikizia kesi
3. Tunajua ni haki yetu kuja mahakamani
4. Tunakutaka ujue tutakuwapo mahakamani wala usitutishe
5. Tunakutaka umwogope Mungu wako kwani kushuhudia uongo huku ukilitaja jina lake bure, Mola anakataza
6. Tunakutaka uwashauri wenzio mtafute magereza zaidi ya kutuweka katika mamilioni yetu
7. Tunakutaka uziheshimu haki zetu
8. Tunakutaka uheshimu katiba

Ni hayo tu. Kwako kamanda.
Maneno tu ... sidhani kama unamaanisha keyboard ⌨️ warrior
 
Mitandao ya kijamii imefurika matusi na kejeli baada ya IGP kutoa press akidai asiyeamini kwamba Mbowe ni Gaidi aende akamuulize. Amekwenda mbali zaid na kudai atakayethubutu kuandamana atapigwa tu.

Hi si ishara nzuri kwa mlinzi wa amani kugeukwa na anaowalinda, naamini Jeshi la Polisi linakila sababu yakujitafakari kuelekea kustaafu kwa huyu Mzee siro ambaye kwa namna yoyote ile awezi Tena kujisafisha.

Ikumbukwe aliyeeleza kwamba Mbowe amekamatwa kwa maelekezo ya Rais alikuwa ni RPC Mwanza na hakuna hatua zilizochukuliwa kupinga kauli hiyo si serikali Wala jeshi lenyewe.

Lakini baadaye tuliambiwa anatuhumiwa kutaka kuua viongozi ila hati ya mashtaka haisemi hivyo na hakuna kiongozi aliyetajwa alitaka kuuwawa.
Polisiccm ni Tawi la CCM hawafanyi kazi kwa mujibu wa Sheria pindi wakipewa maagizo kuwaonea kuwabambikia kesi chadema bali hufanya kazi kwa zidumu fikra za uonevu unyanyasaji tokea kwa mwenyekiti wa CCM
 
Jamaa kasema sasa hivi kama amani imekushinda na unataka uandamane wao wako tayar wamejipanga watakupelekea Moto
Kauli ya kupelekewa Moto imejirudiarudia kama tuko Afghanistan
Polisiccm wanatumia Sheria za CCM siyo katiba kuitawala Nchi kienyeji kuwatesa wapinzani kuwabambikia kesi na uonevu unyanyasaji usiokwisha
 
Alisikika raia mmoja wa online republic akitutusa vidole kutokea ughaibuni

nendeni barabarani …. Mkaonje virungu vipya
Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite Cyprian Musiba Heri kisanduku na wasiojulikana kumpiga risasi angefikaje huko ughaibuni?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Akili za mavi hizi, kama ni haki yako kuja mahakamani njoo tena uwe wa kwanza uone moto
Akili za mavi ni zako wewe kutumia moto haramu wa kishetani kuzuia haki kutendeka kutembeza mikwara ya kijinga ukiamini ubabe wako wa kutembeza moto ni Akili kumbe hujui kuwa huo ni ushetani mkubwa usio na tija
 
Back
Top Bottom