IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Na Ben saanane pia,Azory Gwanda ns yule aliyemuua Akwelina.

Watanzania sio wajinga,aamini hivyo. Mungu anaona pia
 
Watanzania wengi tumekosa ubunifu kila mtu anataka yajibiwe na hata ukimpa ajira usafiri miaka utamkuta vilevile,matokeo take ni hayo kujikomba kwa watswala "rais"tnawaambia athlete katiba mpya itukomboe na kujikomba huku kwa kufungua madaraka ya rais hamtakona sasa Siro kawa kituko
 
mara nyigi nilikuwa najiuliza kwa nini viongozi na wafuasi wa Chadema mara zote ni Wakorofi na huioa lugha za kuitisha mamlaka?
Kumbe Jibu lake ndio hili, kweli waswahili husema mtoto wa nyoka ni nyoka.
Kumbe kiongozi wa Chama alikuwa ananunua na kupanga vitendo vya kigaidi....ndio maaana wafuasi wa chadema ni wakorofi hatari.
Ushauri wangu, viongozi wa Chadema na wafuasi wote badilikeni, acheni vitendo vya uvunjifu wa amani, na kwa sasa IGP katangaza operesheni kubwa ya kuwasaka wale wote wenye lengo la kuvunja sheria.
Ushauri kwa Jeshi la polisi;
kuna haja ya kufuatilia nyendo za viongozi na wafuasi wa Chaema kila kona ya nchi.
 
Hapa issue ni kupata katiba mpya mkuu itakayoleta mgawanyo sawa wa mamlaka, tume huru ya uchaguzi, na uhuru wa mahakama. Majibu ya maswali mengi ya Watanzania yatajibiwa Mahakamani na kwenye sanduku la kura.
Tunataka katiba mupya.
 
Chadema wanashiriki kuhujumu haki ya raia kutoa malalamiko yao kwa uwazi juu ya ongezeko umiza za gharama za simu, mafuta, na pembejeo, gesi ya kupikia nakadhalika.

CHADEMA Ajenda zinazowahusu raia hawaangaiki nazo. Kwa malengo yao hasi haya kwa raia, Sisi raia 'kacheku' tutawaungaje mkono!?
 
Chadema wanashiriki kuhujumu haki ya raia kutoa malalamiko yao juu ya ongezeko umiza za gharama za simu, mafuta, na pembejeo, gesi ya kupikia nakadhalika.

Ajenda zinazowahusu raia hawaangaiki nazo. Sisi raia 'kacheku' tutawaungaje mkono!?
Waunge wabambikaji wenzio
 
mara nyigi nilikuwa najiuliza kwa nini viongozi na wafuasi wa Chadema mara zote ni Wakorofi na huioa lugha za kuitisha mamlaka?
Kumbe Jibu lake ndio hili, kweli waswahili husema mtoto wa nyoka ni nyoka...
Ushauri wenu huu ndio ulimponza mwendazake badala ya kkuponya majeraha mnachochea chuki.
 
Waunge wabambikaji wenzio
Ninyi kwa namna ya kipekee mnafifisha sauti za raia kutoa malalamiko, kwa kuibua hoja zisizo na mashiko mitandaoni na kwingineko ili kuipa nafuu serikali isiharakishe kurekebesha matatizo niliyoyataja. Ninyi ni sehemu kubwa ya Tatizo.

Yawezekana hamjitambui kuwa mnahujumu kupaza sauti zetu dhidi ya ongezeko la gharama ndiyo maana bado unashangaa!
 
SIRRO amekuwa IGP wa ajabu bila kutegemewa kabisa.

Analaumu aliyetaka kuuliwa kwa kushindwa kwake kufanya uchunguzi juu ya jaribio hilo.

Anatisha raia wasidai haki zao ndani ya sheria zilizopo "akilinda usalama" wa wanaomshibisha yeye.
nasikia ana kadi ya ccm na ni mwanachama mtiifu kwa chama.
 
Hivi Jeshi la Polisi halina wanasheria? Inakuwaje IGP anaongea hadharani kwamba kuandamana ni kuvunja sheria za nchi ni kifungu gani hicho kama si kulidhalilisha Jeshi zima la Polisi?
ni ajabu kabisa ameamua kupotosha umma kwa malengo ya kisiasa kuibeba ccm iliofeli
 
Kama kweli una Mungu na wewe ni mfuasi wa dini tueleze umewakamata wangapi hadi leo...yale maboxsi ya kura yalioletwa na akina Mdee vituoni ( kabla hawajaasi) yako wapi?...
nchi hii inaongozwa na washamba na wakuja ndio tatizo
 
Ukihaidiwa ubunge baada ya kustaafu ni lazima ufanye watakacho ccm
 
Back
Top Bottom