Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na MUNGU anatenda..God is watching...!
Tunataka katiba mupya.Hapa issue ni kupata katiba mpya mkuu itakayoleta mgawanyo sawa wa mamlaka, tume huru ya uchaguzi, na uhuru wa mahakama. Majibu ya maswali mengi ya Watanzania yatajibiwa Mahakamani na kwenye sanduku la kura.
Ndio mtaacha kumuona Mbowe malaika?Tunataka katiba mupya.
Kwanini nnamuona Mbowe ni malaika?
Kwani akili hata zile za kuzaliwe zinaenda wapi?Ndio mtaacha kumuona Mbowe malaika?
Igp Siro: chadema wanamuona Mbowe malaika!Kwani akili hata zile za kuzaliwe zinaenda wapi?
Ndio maana kwa hofu mmembambika.Igp Siro: chadema wanamuona Mbowe malaika!
Waunge wabambikaji wenzioChadema wanashiriki kuhujumu haki ya raia kutoa malalamiko yao juu ya ongezeko umiza za gharama za simu, mafuta, na pembejeo, gesi ya kupikia nakadhalika.
Ajenda zinazowahusu raia hawaangaiki nazo. Sisi raia 'kacheku' tutawaungaje mkono!?
Ushauri wenu huu ndio ulimponza mwendazake badala ya kkuponya majeraha mnachochea chuki.mara nyigi nilikuwa najiuliza kwa nini viongozi na wafuasi wa Chadema mara zote ni Wakorofi na huioa lugha za kuitisha mamlaka?
Kumbe Jibu lake ndio hili, kweli waswahili husema mtoto wa nyoka ni nyoka...
Ninyi kwa namna ya kipekee mnafifisha sauti za raia kutoa malalamiko, kwa kuibua hoja zisizo na mashiko mitandaoni na kwingineko ili kuipa nafuu serikali isiharakishe kurekebesha matatizo niliyoyataja. Ninyi ni sehemu kubwa ya Tatizo.Waunge wabambikaji wenzio
nasikia ana kadi ya ccm na ni mwanachama mtiifu kwa chama.SIRRO amekuwa IGP wa ajabu bila kutegemewa kabisa.
Analaumu aliyetaka kuuliwa kwa kushindwa kwake kufanya uchunguzi juu ya jaribio hilo.
Anatisha raia wasidai haki zao ndani ya sheria zilizopo "akilinda usalama" wa wanaomshibisha yeye.
ni ajabu kabisa ameamua kupotosha umma kwa malengo ya kisiasa kuibeba ccm iliofeliHivi Jeshi la Polisi halina wanasheria? Inakuwaje IGP anaongea hadharani kwamba kuandamana ni kuvunja sheria za nchi ni kifungu gani hicho kama si kulidhalilisha Jeshi zima la Polisi?
nchi hii inaongozwa na washamba na wakuja ndio tatizoKama kweli una Mungu na wewe ni mfuasi wa dini tueleze umewakamata wangapi hadi leo...yale maboxsi ya kura yalioletwa na akina Mdee vituoni ( kabla hawajaasi) yako wapi?...
Wakistaaafu uzawadiwa ubunge kwa utiifu wa kuibeba chakavunasikia ana kadi ya ccm na ni mwanachama mtiifu kwa chama.