IGP Sirro: Faili la Lissu halitafungwa. Akirudi tu, tunamkaba kwa ajili ya upelelezi

Nilipenda kipindi cha 45 dakika za redio one kwa yule mwandishi wa habari kiukweli jamaa aliuliza maswali ambayo yalijibika kiukali,sana nikabaki nikijiuliza kwanini!,ajibu vitu ambavyo majibu yanatishia amani
 
Ni kweli njaa haina baunsa, ila ikipanda kichwani haya ndio matokeo yake. Mtu mwenye dhamana anaongea aibu unaona wewe. Unabaki na maswali yasikua na majibu. Hapo ndio nakumbuka Biblia inaposema hata mpumbavu akinyamaza huhesabiwa hekima.
 
Yote uliyosema yana maana, ila paragraph ya mwisho ni uongo hilo la kuingia barabarani na kuchimbika ni uongo - kati yenu hakuna mwenye ubavu huo! On the keyboard yes, lakini physically hamuwezi. Waoga sana na wanafiki
 
Inawezekana haya matukio polisi wakayajua au wasiyajue.
Hii nchi ina vitengo vya siri vingi
 
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake

Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani

Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Ni sawa kabisa, kutoa tuhuma bila ushahidi ni kosa kubwa sana, kisa upate huruma, pesa toka kwa wahisani na kujulikana...
Dereva yuko wapi?!
 
Mnahofia nini nyie, atakamatwa na kuhojiwa kuhusu kupigwa kwake risasi sasa hofu ya nini?

Achana na hilo kumbuka pia ana kesi zake zipo mahakamani kwa hiyo akija acha akawajibike
 
Yote uliyosema yana maana, ila paragraph ya mwisho ni uongo hilo la kuingia barabarani na kuchimbika ni uongo - kati yenu hakuna mwenye ubavu huo! On the keyboard yes, lakini physically hamuwezi. Waoga sana na wanafiki
Hata paka na mbwa ni waoga sana, jaribu siku moja umfungie paka chumbani halafu uanze kumchapa bakora huku akiwa hana namna ya kuokoa maisha yake.

Unaweza kudhani umevamiwa na Simba na sio paka.
 
dah kweli mitakataka
anatoka hospitali kisha jela kama jambazi tu
 
Upuuzi mtupu, mtaingia barabarani wewe na nani? kukamatwa lazima akamatwe,mahakama pia inamsubiri kwa kuruka dhamana, asikamatwe yeye nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…