Tuhuma zipi? Tuhuma za kumbambikia kesi? Huko alipo alipenda kwenda huko? au roho yako mbaya ya kumpiga risasi ndiyo imemfanya awepo huko?Lissu hata akigombea udiwani hapati, aje ajibu tuhuma zinazo mkabili kisha arudi kwa waume zake kugo ngwa
Tinaeashitaki kila siku kwa hakimu asiyepokea hongo, hakimu wa mahakimu wote. Bado tu anaendelea kusikiliza ushahidi wetu. Hana harka.ya hukumu. Akitowa hukumu yake inakuwa.haina doa. Mahakama waliyokwenda Warundi!L
Ini utawashitaki? Au unajisemea kimoyo moyo?
Ki ukweli ni aibu kubwa sana, Chama chetu chenye kushika dola, kina wanachama lukuki eti tunamwogopa mtu mmoja lissu khaaa Aibu yetu mwehCCM tunamwogopa sana Lissu hadi mimi naona aibu!
Kaa utulie uone kama kuna kesi.Zito kila kukicha anapeleka umbea kwa mabalozi wakati ndani ya mabalozi kuna mabalozi wa serikali.Mbona CCM inawabambikia kesi ?
Huu ugoro kajadili na house girl wenu hapo nyumbani ndiyo atakuelewa.Tangu lini mtu akapona risasi 16?hao walengaji vilaza kabisa
Tangu risasi Kumi na sita zimpige Lisu tu na zimkose Dereva wake ikiwa uelekeo wa risasi n mmoja walipo wote wawili??
Hapo tunakamata Lisu tunakamata na Dereva wake watoe maelezo hili n tukio tatanishi
Aliyempiga risasi ni wewe najua siwezi kwenda popote kuulizaAliyempiga risasi humjui? Muulize yule DJ mlevi akupe mkanda mzima.
Basi atakuwa mafia wa hatari,kama aliwaondoa walinzi wa serikaliMbowe ni mafia
Zito anasema ukweli lakini CCM ya sasa msema ukweli huwa Adui na asipokuwa makini anabambikiwa kesi au kipigwa risasiKaa utulie uone kama kuna kesi.Zito kila kukicha anapeleka umbea kwa mabalozi wakati ndani ya mabalozi kuna mabalozi wa serikali.
CCM inawadharau watanzania kwa kiwango cha kutishaYaan kweli watanzania tumegeuzwa hatuna akili
Zito sio mkweli ndo.maana hata Chadema walimfukuza.anachofanya ni kuwaonyesha mabeberu kuwa serikali ni mbaya wakati sio kweli.Zito anasema ukweli lakini CCM ya sasa msema ukweli huwa Adui na asipokuwa makini anabambikiwa kesi au kipigwa risasi
Daah hivi kiongozi una miaka mingapi?...sorry lakiniMkuu lile shambulio lina utata
Hujiulizi Kwanini dereva hakuumia?
Ndiyo! Upinzani pia.Kwa hiyo alieshambuliwa anageuka kua mhalifu? 🙆🏿🤷🏿
CCM acheni kuwaita wanaume wenzenu mabeberu kwani nyinyi ni mbuzi jike?Zito sio mkweli ndo.maana hata Chadema walimfukuza.anachofanya ni kuwaonyesha mabeberu kuwa serikali ni mbaya wakati sio kweli.
Tanzania kama taifa ni mwiko kuongozwa na hisia za mabeberu.CCM acheni kuwaita wanaume wenzenu mabeberu kwani nyinyi ni mbuzi jike?
Ina maana Lissu angekufa uchunguzi usingefanyika? Mpaka sasa Sirro ameshahoji watu wangapi kuhusu tukio hili la kihalifu? Ni kichekesho kuwa mhanga wa tukio ndo anakuwa mshukiwa nr 1! Hii inawezekana Tanzania tu!TL ni mwanasheria nguli kwa nini aogope kufuata sheria? TL asijifanyie huruma ya Watanzania kuendeleza agenda zake binafsi? Hii ni nchi na lazima iwepo na iendelee kama yupo au la?