4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Hapa IGP nakubali mawazo take na ampe ulinzi wa kutoshaAmesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani
Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Waulize Takukuru Si Wamejifanya Kutengeneza Report Yako Wapi Mbona Kimya?Huna hoja wewe nenda mkagawane billioni 8 na Mbowe mnazowakamua Wabunge wenu. Na ndio mwisho wenu mwaka huu mnatoka mrisi.
Acha kujitoa ufahamu kama hujui CCTV camera zilipo unahoji dereva wa nn??Simfahamu kuhusu hilo
Mkuuu rudi kule kwenye Jukwaa la Urusi na USA, USA vs Iran..
uku kwenye jukwaa la siasa za bongo unaweza kujikuta unabamiza simu yako/tarakshi ukutani[emoji23][emoji23][emoji23].
uku kuna watu wanaboa kinoma.
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani
Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Mbowe na Lissu wanaitosha ccm. Duh nimegundua kweli madikteta ni watu waoga sana, hasa wakishafanya makosa yao wanakuwa na hofu kubwa sana. Msiogope hakuna mtu atalipiza kisasi walishawasamehe.Mbowe ndio Aliemficha dereva sio lisu
Kwa nin hamkuwakamata hao Wahuni wenzenu??Mkuu wale sio wauaji walikuwa wahuni tu,
Hapana! Ila anatakiwa ashirikiane na Polisi kuwakamata wahalifu. Kinachowakera Polisi aliyeshambuliwa hataki kutoa ushirikiano hivyo lazima ashurutishwe. Polisi ya Tanzania inataka kuhakikisha raia wote pamoja na mali zao wanakuwa salama muda wote!Kwa hiyo alieshambuliwa anageuka kua mhalifu? 🙆🏿🤷🏿
Eti mtu aliyepigwa risasi 16 anaambiwa na na polisi kuwa wanamtafuta wamkabe !
Ni dhahiri Sirro anamtisha Lissu ili asije nchini hawamtaki Lissu kwenye hii ardhi kwa sababu amewazidi nguvu.View attachment 1487155
Lissu anawaumiza vichwa hadi usiku mkilala mnamuota.Cdm wasimtegemee sana lisu,au watajikuta bila mgombea
Ingekuwa inawezekana mngewasimisha wote wawili na msigwa juu na pia hamuwezi kupata kura dhidi ya magufuliMbowe na Lissu wanaitosha ccm. Duh nimegundua kweli madikteta ni watu waoga sana, hasa wakishafanya makosa yao wanakuwa na hofu kubwa sana. Msiogope hakuna mtu atalipiza kisasi walishawasamehe.
Mshaurini magu nyie mnampeleka kwenye ukomo ambao kwasasa hajaweza kufikiria utakuja vipi, hizi zama ni zama za kutumia akili zaidi sio nguvu, wote waliofanya hivyo waliishia vibaya; Mobutu, Ghadaffi, Saadam, Mugabe, Idd Amin, Hosni Mubarak, n.k.Ingekuwa inawezekana mngewasimisha wote wawili na msigwa juu na pia hamuwezi kupata kura dhidi ya magufuli
Huo ndio utaratibu kwa sababu kuna watu walitaka kumuua. TL kama mwanasheria analifahamu hilo hata waliomuwekea dhamana kawakimbia. Just imagine inamuwekea dhamana then unapata matatizo, uzuri wameondoa zile dhamana. Hivi vyama vya mfukoni ooops vyama vya Ukoo oops ni SACOS ina shida inamtajirisha Mbowe na familia yake pekee..
Waulize Takukuru Si Wamejifanya Kutengeneza Report Yako Wapi Mbona Kimya?
Umekaririshwa kama kasuku, SACCOS inasajiliwa kwa msajili? Mbona hata kama ni kushikiwa akili hii sasa ni kujidhalilisha?
Huyo igp unahisi anajitambua ?Mwambie IGP akamuonye kwanza yule RPC wa Arusha maana mpaka Mh Rais kashindwa kuvumilia.
Usifananishe hao takataka na raisi wetu raisi wetu kachaguliwa kwa kura hajaingia kwa mtutu wa bunduki, mpako hapo umeonesha wewe Ni kilaza na hata siasa hujui umefuata mkumbo tu, na kwa tanzania mpaka Sasa hakuna chama mbadala wa CCM (bado hakijaanzishwa)na hakuna mgombea wa uraisi wa kushindana na wa CCM (bado hajazaliwa) hao wote MBOWE lisu zito na wengine wote hakuna atakae wahi kuitwa raisi mpaka watazeeka wataitwa wapinzani tuMshaurini magu nyie mnampeleka kwenye ukomo ambao kwasasa hajaweza kufikiria utakuja vipi, hizi zama ni zama za kutumia akili zaidi sio nguvu, wote waliofanya hivyo waliishia vibaya; Mobutu, Ghadaffi, Saadam, Mugabe, Idd Amin, Hosni Mubarak, n.k.
Huu ujinga wenu utawapeleka icc trust me siro ana miaka mitano ya kuinjoi mamlaka mengine tuyaache.Huo ndio utaratibu kwa sababu kuna watu walitaka kumuua. TL kama mwanasheria analifahamu hilo hata waliomuwekea dhamana kawakimbia. Just imagine inamuwekea dhamana then unapata matatizo, uzuri wameondoa zile dhamana. Hivi vyama vya mfukoni ooops vyama vya Ukoo oops ni SACOS ina shida inamtajirisha Mbowe na familia yake pekee..