machomanne
JF-Expert Member
- Feb 22, 2017
- 822
- 925
Polisi ni jeshi????Toka lini waziri akawa amiri jeshi? Yaani waziri atoe amri kwa jeshi? Tukiendekeza hilo kuna siku we waziri Mulamula ataamrisha jwtz ivamie Malawi!
Tumepigwa mkuu 😅😅😅Huyu mama gwajima wakupuuzwa kabisaaa,ukimuangalia ktk ile video baada ya kuchwanjwa anavyokimbia kimbia utajua kuna nati inechomoka.
Rudi ktk zile video za kupiga nyungu na wakikimbia na mumewe aisee Huyu kuna sehemu ipo tatzo
Mara ngapi ma DC/RC wamewaweka watu rumande masaa 24 ..?Toka lini waziri akawa amiri jeshi? Hilo likiruhusiwa kuna siku waziri atatoa order kwa jwtz ivamie nchi nyingine. Mawaziri wajifunze namna ya kufanya kazi.
Unaelewa kuna aina ngapi za amri?
Hakuna lolote zaidi ya sub standard. Pia anahofia kupigwa madongo na Gwajima. Je wote wanaokamatwa nchi hii huwa wanasubiri wapatiwe waraka wa maandishi au hadi amri kutoka kwa Rais?
Subiri Mh Rais atakaporejea ndio utajua hujui!!
Mama analikoroga vibaya mnoNijuavyo mimi mbunge kama mbunge ana sheria zake kukamatwa sasa wakimkamata hovyo hovyo anaqeza waumbua kama anaijua sheria kingine hata wakisema wampandishw kizimbani bado atawashinda kwa mfano akiwauliza hayo maneno aliyazungumzua wapi ma awrikali imjibu kanisani je?serikali si imesema haina dini? imekuwaje tena inatambua hilo
IIa DC anayo!Waziri hana mamlaka ya kuamrisha mtu akamatwe kiholela namna hiyo
Rc na DC ndie wenyekiti wa kamati za ulinzi na usalama kwenye wilaya na mikoa yao kupokea maagizo ni sawa Ila sio kwa mawazili ,nahisi kauli ya wazir ina kaubabe flani hvi ,kwa tafsir nyingne hayo alosema siro ni onyo kwa waziri waheshimu vyombo vyombo vya ulinzi na usalamaHuu mjadala nimeupenda....
Ni kweli hicho kitu hakiwezekani CDF atii amri kutoka kwa NIKKI WA PILI...
Haahaa hakuna chochote hapo...Rc na DC ndie wenyekiti wa kamati za ulinzi na usalama kwenye wilaya na mikoa yao kupokea maagizo ni sawa Ila sio kwa mawazili ,nahisi kauli ya wazir ina kaubabe flani hvi ,kwa tafsir nyingne hayo alosema siro ni onyo kwa waziri waheshimu vyombo vyombo vya ulinzi na usalama
Ni migamboPolisi ni jeshi????
Ile kukimbia na Mumewe,alikua anamchoresha sana Mumewe,na inaonekana hata Mume alikua hataki sema Dorothy anaonekana ana sauti kwa Mumewe!!Huyu mama gwajima wakupuuzwa kabisaaa,ukimuangalia ktk ile video baada ya kuchwanjwa anavyokimbia kimbia utajua kuna nati inechomoka.
Rudi ktk zile video za kupiga nyungu na wakikimbia na mumewe aisee Huyu kuna sehemu ipo tatzo
Kwani na Siro nae kajibu kutoka hewani tu!? Taratibu lazima zifuatwe kote kote, na huo ndiyo utawala wa Sheria!!Sirro anadhani yule mama kaongea tu kutoka hewani
Issue ya Sabaya imewafunguwa macho wapokea maagizo kutoka juu, tunataka barua kwanza,ili kesho na kesho kutwa tusije tukageukana Mahakamani!!Kumbe wanao wakamataga wanapewaga barua eee! Au ndio Ile maelekezo kutoka juu
Waziri anachukua madaraka ya Amiri Jeshi Mkuu!!IGP Sirro amesema kuwa jeshi la polisi linaendeshwa kwa maandishi na kuna taratibu hivyo wanasubiri barua kutoka kwa waziri ili waangalie wanatekeleza vipi agizo lake
Haya Gwajima kesha letwa,Sasa tunataka tuone kwa nini ulitaka uletewe Gwajima!? Tunasubiri!!Nileteeni gwajima.......... Aliskika akisema
Hakuna mwanadamu ambae siku zake hazihesabiki.Ila SIRRO pia sku zako zahesabika!