IGP Sirro ata ukimuangalia unaona umri umeenda may be tunahitaji mwingine.
It is very irresponsible of him kutaka kupingana na waziri hadharani.
Yeye IGP Sirro kipindi kile anapambana na mauaji ya Kibiti na Rufiji angetokea mtu nakuanza kusema hayo mauaji ni polisi wenyewe wanafanya, sijui hakuna mauaji ni sinema ya kutengenezwa na polisi starling ni IGP mwenyewe. Yeye kwa nafasi angekuwa na reaction gani na hao watu kipindi kile.
Huyu mtu apelekwe KCMC siku nzima, wakitoka hapo wampeleke Mount Meru hospitali, Bugando na Hospitali zingine zenye wagonjwa wanaopumulia oxygen aone changamoto za wizara za kuangaika na hawa patients wa COVID waliopo kwenye intensive care kwenye kuokoa maisha yao.
Halafu mtu kama Dr Gwajima anachangamoto za kutakiwa kutokusema ukweli wote kulinda mapato ya utalii na ajira.
The only way Dr Gwajima anaweza pambana ni kuona watu wanapewa chanjo; halafu anatokea mtu huko anawatungia uongo waziri na raisi; kuongopa juu ya chanjo zenyewe na ku downplay ugonjwa wote.
Sirro anaanza kuzeeka, Azoray Gwanda kukosoa operation yao wamempoteza (kwa mujibu wa CDM) sembuse ugumu huyo askofu anaowapa wenzake katika kazi yao kila siku.
Very ignorant of IGP kumjibu waziri hadharani, aende Bugando kwa siku aone na ugumu wa kazi ya wenzake.