IGP Sirro: Kipindi cha kampeni nilimtafuta Tundu Lissu aje kuhojiwa lakini hakuja

IGP Sirro: Kipindi cha kampeni nilimtafuta Tundu Lissu aje kuhojiwa lakini hakuja

..hivi unaamini Lissu ana-enjoy kuwa mlemavu, kuliko kuwa mbunge, wakili wa mahakama kuu, na kuishi kwa usalama?

..mbona Lissu alikuwa na kazi yake nzuri na akiishi Marekani kabla hajarudi nchini na kugombea ubunge?

..Lissu angekuwa anapenda maisha ya "ulaya" na angekuwa hana uzalendo na wito wa kutetea Watz wenzake asingeacha kazi Marekani na kurudi nchini kuhangaika na siasa za upinzani za Tz.
Kazi gani ya kufanywa na lofa Lisu marekani?
 
..ukiwa na cctv wala humhitaji Tundu Lissu.

..atakuja kueleza nini ikiwa waliohusika wanaonekana kwenye cctv?

..kwa hapa tulipofikia IGP atueleze jeshi la Polisi linamhisi na kumtafuta nani kuhusiana na shambulizi la Lissu.
Cctv camera ina mdomo?
 
Kasema lini huu ujinga?
Gari la LISSU bado liko Polisi Dodoma?
Wote wanaoumizwa nchini IGP ndo anawapigia simu wakahojiwe?

..Na hatakiwi kumpigia simu.

..IGP anatakiwa ampelekee Lissu wito wa kimaandishi kufika kituo cha polisi kwa ajili ya kuhojiwa.

..Na ktk wito huo anatakiwa aeleze atahojiwa kwa tukio gani.

..hivyo ndivyo SHERIA inavyoelekeza.
 
Lissu kama anataka kesi yake itatuliwe inabidi ashikiane na polisi la sivyo aendelee kuitumia kama mtaji
Hiyo sio kesi ya Tundu Lissu. Ni kesi ya JMT dhidi ya waliomshambulia TL. Kila mwananchi wa JMT anaweza kukutwa na tatizo kama lile na hivyo lazima polisi walitatue hilo kwa njia zozote.

Kama mhanga anahofia uhai wake watafute njia zingine za kuchukua maelezo yake. Teknolojia ilivyo pana siku hizi hauhitaji kukutana na mtu ana kwa ana ili upate maelezo yake. watuambie lini walimtafuta kwa zoom au kwa skype au hata kwa watsap video call akawakatalia kutoa maelezo.

Tatizo ni pale JMT inaposita kuchukua hatua stahiki ya kuwasaka waliohatarisha uhai wa mwananchi wa JMT eti mpaka mhanga atoe ushirikiano.
 
..Na hatakiwi kumpigia simu.

..IGP anatakiwa ampelekee Lissu wito wa kimaandishi kufika kituo cha polisi kwa ajili ya kuhojiwa.

..Na ktk wito huo anatakiwa aeleze atahojiwa kwa tukio gani.

..hivyo ndivyo SHERIA inavyoelekeza.
Si umesikia amesema alimpigia simu? Njoo bwana LISSU nikuhoji!
 
Si umesikia amesema alimpigia simu? Njoo bwana LISSU nikuhoji!

..Huo sio UTARATIBU wa jeshi la Polisi kumuita mtu yeyote yule kwa ajili ya mahojiano.

..Jeshi linatakiwa limpatie Lissu wito wa KIMAANDISHI kumueleza linamhitaji kwa suala gani, na aripoti kituo kipi.

..Hata mimi na wewe tukiwa tunahitajiwa na jeshi la polisi huo ndio utaratibu.

..Kwa mfano, IGP akiulizwa rekodi au ushahidi kwamba alimtafuta Lissu kwa ajili ya mahojiano atatoa ushahidi gani?
 
..Na hatakiwi kumpigia simu.

..IGP anatakiwa ampelekee Lissu wito wa kimaandishi kufika kituo cha polisi kwa ajili ya kuhojiwa.

..Na ktk wito huo anatakiwa aeleze atahojiwa kwa tukio gani.

..hivyo ndivyo SHERIA inavyoelekeza.
Kwa nini Lisu anapenda kutoa mashariti kwa viongozi?
Rais anampa mashariti
IGP anampa mashariti
 
Hiyo sio kesi ya Tundu Lissu. Ni kesi ya JMT dhidi ya waliomshambulia TL. Kila mwananchi wa JMT anaweza kukutwa na tatizo kama lile na hivyo lazima polisi walitatue hilo kwa njia zozote.

Kama mhanga anahofia uhai wake watafute njia zingine za kuchukua maelezo yake. Teknolojia ilivyo pana siku hizi hauhitaji kukutana na mtu ana kwa ana ili upate maelezo yake. watuambie lini walimtafuta kwa zoom au kwa skype au hata kwa watsap video call akawakatalia kutoa maelezo.

Tatizo ni pale JMT inaposita kuchukua hatua stahiki ya kuwasaka waliohatarisha uhai wa mwananchi wa JMT eti mpaka mhanga atoe ushirikiano.
Unapata faida gani kutetea ujinga?
Lisu mwenye hofu ya usalama alifanyaje kampeni za uchaguzi kwa miezi 3?
 
Kwa nini Lisu anapenda kutoa mashariti kwa viongozi?
Rais anampa mashariti
IGP anampa mashariti

..hayo siyo masharti ya Tundu Lissu.

..hivyo ndivyo sheria inavyotaka mambo yafanyike.

..Nahisi IGP ni muongo. Huwezi kumuita mhusika kwa ajili ya mahojiano kwa kumpigia simu.
 
Haya maisha teh....yani kwa mfano tu unapanga kumuua mtu halafu hafi unakufa wewe 😁 inafurahisha
 
Ni vigumu sana kumtofautisha huyo jamaa na katibu mwenezi wa ccm
 
Unapata faida gani kutetea ujinga?
Lisu mwenye hofu ya usalama alifanyaje kampeni za uchaguzi kwa miezi 3?
akili yako ww nyepesi sana kuwa na uwezo wa kukokotoa hata vitu rahisi kama hivi. hivi mtu ambaye amekuwa kwenye kampeni iliyosheheni mizengwe mingi kila anakoenda halafu kampeni inakwisha unataka kumkamata yeye aliyeshambuliwa. unaendaje kumkamata mtu aliyeshambuliwa ukiwa na mitutu. au alijipiga zile risasi sasa unaogopa anaweza kupiga wengine risasi wakati wa kumkamata. sasa kwa kuwa kichwa chako chepesi kilichomuokoa TL asiingie kwenye mikono ya madhalimu wake ni kuingilia kati kwa jumuiya ya kimataifa wasimdhuru. pimbi we
 
Kwanini alisubiri mpaka kipindi cha kampeni aliogopa nini?

Niseme tu Sirro siku hizi amekuwa mwanasiasa.
Angekuwa mwanasiasa mbona siyo ajabu sana kwa Tanzania. Huyu jamaa ni mchumia tumbo, lijamaa limoja lisilo na utu, lililoamua kujitoa ufahamu ili maisha yake yanyooke. Hawa wametumiwa sana kuleta maangamizi katika nchi ya Tanzania. Damu za watu zilizomwagika zitawalaani.
 
Back
Top Bottom