Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kama IGP anaona mtu kupigwa risasi na kuwa mlemavu anafaidi basi Rais anaongoza misukule.Lisu hana akili mpaka akamatwe ndiyo atoe ushirikiano kwenye kesi inayomhusu yeye?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama IGP anaona mtu kupigwa risasi na kuwa mlemavu anafaidi basi Rais anaongoza misukule.Lisu hana akili mpaka akamatwe ndiyo atoe ushirikiano kwenye kesi inayomhusu yeye?
Kazi gani ya kufanywa na lofa Lisu marekani?..hivi unaamini Lissu ana-enjoy kuwa mlemavu, kuliko kuwa mbunge, wakili wa mahakama kuu, na kuishi kwa usalama?
..mbona Lissu alikuwa na kazi yake nzuri na akiishi Marekani kabla hajarudi nchini na kugombea ubunge?
..Lissu angekuwa anapenda maisha ya "ulaya" na angekuwa hana uzalendo na wito wa kutetea Watz wenzake asingeacha kazi Marekani na kurudi nchini kuhangaika na siasa za upinzani za Tz.
Cctv camera ina mdomo?..ukiwa na cctv wala humhitaji Tundu Lissu.
..atakuja kueleza nini ikiwa waliohusika wanaonekana kwenye cctv?
..kwa hapa tulipofikia IGP atueleze jeshi la Polisi linamhisi na kumtafuta nani kuhusiana na shambulizi la Lissu.
Kasema lini huu ujinga?
Gari la LISSU bado liko Polisi Dodoma?
Wote wanaoumizwa nchini IGP ndo anawapigia simu wakahojiwe?
Hiyo sio kesi ya Tundu Lissu. Ni kesi ya JMT dhidi ya waliomshambulia TL. Kila mwananchi wa JMT anaweza kukutwa na tatizo kama lile na hivyo lazima polisi walitatue hilo kwa njia zozote.Lissu kama anataka kesi yake itatuliwe inabidi ashikiane na polisi la sivyo aendelee kuitumia kama mtaji
Kazi gani ya kufanywa na lofa Lisu marekani?
Si umesikia amesema alimpigia simu? Njoo bwana LISSU nikuhoji!..Na hatakiwi kumpigia simu.
..IGP anatakiwa ampelekee Lissu wito wa kimaandishi kufika kituo cha polisi kwa ajili ya kuhojiwa.
..Na ktk wito huo anatakiwa aeleze atahojiwa kwa tukio gani.
..hivyo ndivyo SHERIA inavyoelekeza.
Hii ni argument ya kitoto sana. Wewe huoni tofauti ya mtu aliyehai na aliyekufa? Muuweni basi ili uchunguzi uendeshwe kama amekufa.Kwa hio tuseme lissu angekufa siku hio na uchunguzi ndio ungeishia siku hio!?
Si umesikia amesema alimpigia simu? Njoo bwana LISSU nikuhoji!
Kwa nini Lisu anapenda kutoa mashariti kwa viongozi?..Na hatakiwi kumpigia simu.
..IGP anatakiwa ampelekee Lissu wito wa kimaandishi kufika kituo cha polisi kwa ajili ya kuhojiwa.
..Na ktk wito huo anatakiwa aeleze atahojiwa kwa tukio gani.
..hivyo ndivyo SHERIA inavyoelekeza.
Cctv camera ina mdomo?
Unapata faida gani kutetea ujinga?Hiyo sio kesi ya Tundu Lissu. Ni kesi ya JMT dhidi ya waliomshambulia TL. Kila mwananchi wa JMT anaweza kukutwa na tatizo kama lile na hivyo lazima polisi walitatue hilo kwa njia zozote.
Kama mhanga anahofia uhai wake watafute njia zingine za kuchukua maelezo yake. Teknolojia ilivyo pana siku hizi hauhitaji kukutana na mtu ana kwa ana ili upate maelezo yake. watuambie lini walimtafuta kwa zoom au kwa skype au hata kwa watsap video call akawakatalia kutoa maelezo.
Tatizo ni pale JMT inaposita kuchukua hatua stahiki ya kuwasaka waliohatarisha uhai wa mwananchi wa JMT eti mpaka mhanga atoe ushirikiano.
Kwa nini Lisu anapenda kutoa mashariti kwa viongozi?
Rais anampa mashariti
IGP anampa mashariti
Unapata faida gani kutetea ujinga?
Lisu mwenye hofu ya usalama alifanyaje kampeni za uchaguzi kwa miezi 3?
akili yako ww nyepesi sana kuwa na uwezo wa kukokotoa hata vitu rahisi kama hivi. hivi mtu ambaye amekuwa kwenye kampeni iliyosheheni mizengwe mingi kila anakoenda halafu kampeni inakwisha unataka kumkamata yeye aliyeshambuliwa. unaendaje kumkamata mtu aliyeshambuliwa ukiwa na mitutu. au alijipiga zile risasi sasa unaogopa anaweza kupiga wengine risasi wakati wa kumkamata. sasa kwa kuwa kichwa chako chepesi kilichomuokoa TL asiingie kwenye mikono ya madhalimu wake ni kuingilia kati kwa jumuiya ya kimataifa wasimdhuru. pimbi weUnapata faida gani kutetea ujinga?
Lisu mwenye hofu ya usalama alifanyaje kampeni za uchaguzi kwa miezi 3?
Angekuwa mwanasiasa mbona siyo ajabu sana kwa Tanzania. Huyu jamaa ni mchumia tumbo, lijamaa limoja lisilo na utu, lililoamua kujitoa ufahamu ili maisha yake yanyooke. Hawa wametumiwa sana kuleta maangamizi katika nchi ya Tanzania. Damu za watu zilizomwagika zitawalaani.Kwanini alisubiri mpaka kipindi cha kampeni aliogopa nini?
Niseme tu Sirro siku hizi amekuwa mwanasiasa.